Kama una mguu wenye kigimbi au mlonjo umini unavaa wa nini?

Kama una mguu wenye kigimbi au mlonjo umini unavaa wa nini?

Kwani hizo Nguo fupi, zilieekewa sheria kua niza wenye miguu ya bia,ulimbukeni tu
 
Habarini,
Unapokuja katika suala la mavazi mafupi, wapo wanawake ambao wamejaliwa na miguu yao mizuri ya bia wakivaa wananoga.

Uvaaji wa nguo fupi umekua unawachoresha hawa wenzetu wenye miguu mlonjo, unaamuonyesha nani milonjo yako!.

Kuna mavazi ya aina nyingi kama sketi ndefu, suruali, unaweza ukavaa na ukanoga tu.

NB: Nina guu la bia hataree, sitaki povu!
Weka picha
 
mashine mbovu ...mguu wa bia hautusaidii chochote
 
Ukisubr upate mnene utazeeka boravujivalie tu kama mimi na vmilonjo vyangu twende hakuna kumuogopa mtu
 
Kwa kweli mi napenda saana nikiona mwanamke anamguu mwembamba. Huwa nachanganyikiwa.

Nikiona limguu linene, sijui la bia aagh...!! Mzuka woote unaisha. Nafananishaga na kitu (mnyama) ambaye amevimba kwaajili ya kupasuka akiwa hatua za kuoza(ku-decompose)
 
Habarini,
Unapokuja katika suala la mavazi mafupi, wapo wanawake ambao wamejaliwa na miguu yao mizuri ya bia wakivaa wananoga.

Uvaaji wa nguo fupi umekua unawachoresha hawa wenzetu wenye miguu mlonjo, unaamuonyesha nani milonjo yako!.

Kuna mavazi ya aina nyingi kama sketi ndefu, suruali, unaweza ukavaa na ukanoga tu.

NB: Nina guu la bia hataree, sitaki povu!
Ngoja Supawuman aje
 
Jamanii, kwahiyo wenye fimbo tusivae vimini? Uhii mm nina mguu kama fimbo lakini naupenda sana sababu wengine hawana huo mguu, wanasota sababu hawawez tembea kama mm, namshukuru Mungu na ninavaa nguo ninayo itaka
 
Picha ikwapi???

Mingine hiyo sio miguu ya bia ni VIGIMBI..
 
Acha watu wavae..Mtu kajikubali kisa nina upungufu flani ndio ni si enjoy maisha? NEVER
 
Tena wenye miguu yenye vigimbi na iliyoshupaa na mapaja yaliyokomaa yasiyo na michirizi na membamba wanapendwa sana na watasha, nilijarijaribu kudodosa kwanini, wengi wao walidai hao wa namna hiyo wana K iliyoshupaa na kakamavu, pia eti ile miguu iliyoshupaa na vigimbi na mapaja makakamavu wanasifika kwa kumbana mwanaume vizuri awapo juu! 😎😛
kweli ya ngoswe mwachie ngoswe...Dunia ina mambo yake...
 
Back
Top Bottom