Kama una mguu wenye kigimbi au mlonjo umini unavaa wa nini?

Wengine wakiwa na kigimbi wanajua ndo mguu wa bia[emoji16]utashangaa mtu anajisifia nimenyimwa shape lakini guu nnalo[emoji23][emoji23][emoji23]ukisema ucheki guu lenyewe linalosifiwa[emoji134][emoji134][emoji16][emoji16]
 
Ahahahahah wapo weng sana wa dizain hii
 
mguu mlonjo ndio ukoje??

ila nimeipenda NB yako😀😀
 
Mbona uuonyeshi ili tuamini km kweli mguu wa bia au fito za kujengea kibanda.
 
Sky Eclat
Hata mimi ndio hivyo naaga suruali il na miguu hatari sana.
 
Mmmh tukianza kuchambua nguo za kuvaa kutokana na maumbile kuna watu watatembea uchi!!!
Mimi navaa vile nnavyojiskia as long as I'm comfortable na sivunji sheria za nchi!!!
Mtakuja kusema sense mikono kama ya Isha Mashauzi wasivae nguo za mikono wazi...
Mi naona mavazi ni kujiamini, baaaasi!
 
hahhaa kwenye mikno ya isha mashauzi namba nikae tu kimya !hahahah we sikuez
 
Back
Top Bottom