Kama una miaka 40 na bado unaendelea kutafuta ajira, haupo serious na maisha

Kama una miaka 40 na bado unaendelea kutafuta ajira, haupo serious na maisha

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Wakuu, sikejeli mtu hapa, lakini lazima tuambiane ukweli. Miaka 40 siyo ya kutafuta ajira, umri huo wewe ndio unatakiwa utafutwe eidha na taasisi za kiserikali au sekta binafsi. Hapa watakuwa wanatizama uzoefu wako.

Lakini siyo eti kila siku upo road na mavyeti yako unaenda kupiga interview na madogo wa 2000. Bro/ sister, hauko serious na maisha.

Alafu ukipata ajira yenyewe mshahara 700k per month, Kufumba na kufumbua 50 hii hapa kwisha habari yako.

97029471-6EFD-413D-9611-6712EFE387EB.jpeg
 
40 kama hukuajiriwa ulipaswa kuwa umejikita kwenye shughuli zingine hata za kiveta veta.
 
Nitaendelea kusaka ajira hadi kiama.

Wasira mwenyewe anasaka ajira.
 
Ni mwendo w VETA TU
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom