BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
From my own experience nilijichanga ili geto nisikae kinyonge niwe nasikilizia muziki pamoja na Fm stations kilichotokea ni vice versa na hasara ya Tz shilling 110,000/= just imagine ndani ya miezi miwili ilianza kujizima ukiwasha unasikiliza hazipiti hata dk 2 inazima
Ikabidi nirudishe dukani waliniambia Ina warranty ya mwaka japo kwa kuzozana na mwenye duka akakubali kuipokea kwa makubaliano kuwa ataipeleka kariakoo kwa mafundi wao kujua tatizo ni nini na kulifanyia kazi niliomba nibadilishiwe brand wakakataa.
Radio ilikaa kwa mafundi wao kama wiki nikapigiwa simu kuenda kuichukua wakidai tatizo lishakuwa solved nilichukua Nika kaa nayo mwezi tatizo likajirudia vile vile
Sauti niliyorekodi wakati ikizima