Kama una mkwanja mrefu ni pm

Kama una mkwanja mrefu ni pm

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kijan mweny umri 21,natafuta rafik mweny uwezo wa kunisaidia matatizo madogo madogo,kama upo tayar ni pm,kutoa ni moyo sio utajir..
 
Bora ungesema kibarua......ss kupewa mpaka lini mdogo wangu!!!!Vyakupewa wakati mwingine vina mashart.
 
Kijan mweny umri 21,natafuta rafik mweny uwezo wa kunisaidia matatizo madogo madogo,kama upo tayar ni pm,kutoa ni moyo sio utajir..

umeisikia hotuba ya Wenje leo?
 
Kijan mweny umri 21,natafuta rafik mweny uwezo wa kunisaidia matatizo madogo madogo,kama upo tayar ni pm,kutoa ni moyo sio utajir..

umeshadangaywa handsome,
usipojitambua sasa hv unatoka kwenye huo ukijana unakuwa binti!
 
Kijan mweny umri 21,natafuta rafik mweny uwezo wa kunisaidia matatizo madogo madogo,kama upo tayar ni pm,kutoa ni moyo sio utajir.

Kafanye kazi kwa bidii acha kuwa na mawazo mgando wewe kijana. Katoe jasho upate zako!
 
miaka 21 unataka msaada???
kuna kazi za kupalilia mashamba je unaweza?
 
ha ha haaaaaa
tutaongea nje
ili useme hayo mauzoefu yako ya kutosha uliyonayo.

huyo hataki kazi anataka msaada,hiyo kazi nipe mimi ninauzoefu wa kutosha nitakufanyia kazi yako vizuri tu.
 
ha ha haaaaaa
tutaongea nje
ili useme hayo mauzoefu yako ya kutosha uliyonayo.

poa poa. tukitoka hapa tukutane nje nikumwagie madokomenti yangu.
hata kama yupo mwingine hapo jirani yenu mwambie tu nayeye naweza kupalilia mashamba zaidi ya mawili kwa siku.
 
mmmmmmmmmmmh
mbona tena unaanza kunipa wasiwasi
yaani utendaji kazi wako umepitiliza.
poa poa. tukitoka hapa tukutane nje nikumwagie madokomenti yangu.
hata kama yupo mwingine hapo jirani yenu mwambie tu nayeye naweza kupalilia mashamba zaidi ya mawili kwa siku.
 
Back
Top Bottom