Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena vina masharti mazito ambayo yanaweza hata kuudhalilisha utu wake.Bora ungesema kibarua......ss kupewa mpaka lini mdogo wangu!!!!Vyakupewa wakati mwingine vina mashart.
Kijan mweny umri 21,natafuta rafik mweny uwezo wa kunisaidia matatizo madogo madogo,kama upo tayar ni pm,kutoa ni moyo sio utajir..
Kijan mweny umri 21,natafuta rafik mweny uwezo wa kunisaidia matatizo madogo madogo,kama upo tayar ni pm,kutoa ni moyo sio utajir..
Unapumuliwa kisogoni?Kijan mweny umri 21,natafuta rafik mweny uwezo wa kunisaidia matatizo madogo madogo,kama upo tayar ni pm,kutoa ni moyo sio utajir..
Kijan mweny umri 21,natafuta rafik mweny uwezo wa kunisaidia matatizo madogo madogo,kama upo tayar ni pm,kutoa ni moyo sio utajir.
miaka 21 unataka msaada???
kuna kazi za kupalilia mashamba je unaweza?
huyo hataki kazi anataka msaada,hiyo kazi nipe mimi ninauzoefu wa kutosha nitakufanyia kazi yako vizuri tu.
ha ha haaaaaa
tutaongea nje
ili useme hayo mauzoefu yako ya kutosha uliyonayo.
poa poa. tukitoka hapa tukutane nje nikumwagie madokomenti yangu.
hata kama yupo mwingine hapo jirani yenu mwambie tu nayeye naweza kupalilia mashamba zaidi ya mawili kwa siku.
Kijan mweny umri 21,natafuta rafik mweny uwezo wa kunisaidia matatizo madogo madogo,kama upo tayar ni pm,kutoa ni moyo sio utajir..
mmmmmmmmmmmh
mbona tena unaanza kunipa wasiwasi
yaani utendaji kazi wako umepitiliza.
duh.. kumbe binam una umri ndogo hivi?
miaka 21 unataka msaada???
kuna kazi za kupalilia mashamba je unaweza?