Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo.

Kama unataka kuingia kwenye biashara hiyo kwa mtaji wa angalau sh milioni nne njoo chukua duka lililo tayari uanze mara moja.

Kwa mawasiliano zaidi 0678174862 au whatsapp 0656388678

Duka lipo Tabata, Dar.

IMG_0392.jpeg
IMG_0391.jpeg
IMG_0390.jpeg
 
Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo. Kama unataka kuingia kwenye biashara hiyo kwa mtaji wa angalau sh milioni nne njoo chukua duka lililo tayari uanze mara moja. Kwa mawasiliano zaidi 0678174862 au whatsapp 0656388678
Ingawa mimi sio mnunuzi lakini ungewarahishia maswali wanunuzi kama
Eneo lilipo
Nguo za kike au kiume au mchanganyiko
Kuna wanunuzi wengine makini huwa hawapendi kuuliza uliza kama muuzaji hujaweka details za kutosha katika tangazo lako, wanapita tu.
 
Back
Top Bottom