Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

Jibu la hili ni gumu! Bila shaka ndilo suala linalofanya duka kuuzwa. Sikatishi tamaa wanunuzi kwani kuna wengine wenye ujuzi wa biashara au wanaweza kutumia frame kufanya biashara nyingine, ila ukiona mtu anauza duka jambo la kwanza ni kuwa hakuna biashara hapo.

This Case is Closed , Boma Liwanza ,Boma Ye!
 
Nimeisoma. Ila kumbuka hakuna anayesema anauza duka kwa sababu hakuna biashara.

Mkuu umeeleza vizuri sana ,Hapo hakuna biashara ndiyo maana anauza ,watu wanapenda sana kuwatia wenzao hasara kwa kusema uongo ,ni bora mtu aseme ukweli ili anayenunua ajue atajipanga vipi kutafuta wateja kwa kwenda extra miles eg online sales ,kujitangaza radio/TV etc

Hata mtu akitaka kuuza gari lililo bovu atasema tu kwamba nina shida ya ada na bla bla kibao kumbe gari ni MSHIPA anatafuta mtu liende kumfia...Binadamu hawana huruma.
 
Let me vommit but i like thus language or you want me to speak my mother tongue kisambaa....?
Binafsi napenda huu utaratibu uliojiwekea sikuhizi wa kukomenti kwa kiingereza, najua unafanya hivi ili kujifunza zaidi.

Mpaka umeweza kuandika hapa na tukaelewa unamaanisha nini basi hiyo ni hatua kubwa sana, maana hapa ndio wengi wanafeli kwenye kuthubutu, kazi kukosoa wenzao tu.

Hivyo we endelea hivyohivyo baada ya muda utakuwa mbali zaidi, ila usiache kufanyia kazi yale unayokosolewa ili kujiimarisha zaidi.
 
I understand you and thank you so much i will keep learning day by day sometimes i watch vdeos on youtube i really want to know this language very well bcause i know why i want to learn this language i lost an opportunity bcause of this language
 
All the best bro...
 
Back
Top Bottom