Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo.

Kama unataka kuingia kwenye biashara hiyo kwa mtaji wa angalau sh milioni nne njoo chukua duka lililo tayari uanze mara moja.

Kwa mawasiliano zaidi 0678174862 au whatsapp 0656388678

Duka lipo Tabata, Dar.

View attachment 2730055View attachment 2730056View attachment 2730057
Hili duka ndo milioni 4 imelala hapo?
 
Namaanisha mauzo kwasiku
Jibu la hili ni gumu! Bila shaka ndilo suala linalofanya duka kuuzwa. Sikatishi tamaa wanunuzi kwani kuna wengine wenye ujuzi wa biashara au wanaweza kutumia frame kufanya biashara nyingine, ila ukiona mtu anauza duka jambo la kwanza ni kuwa hakuna biashara hapo.
 
Sababu ya kuuza nilishaieleza kwenye post ya kwanza. Kama una nadharia zako zingine hakuna anayekuzuia kusema!
 
Back
Top Bottom