Tabata, Dar. Picha naletaLocation, na Picha, mkoa, Aina ya nguo etc
Ingawa mimi sio mnunuzi lakini ungewarahishia maswali wanunuzi kamaKutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo. Kama unataka kuingia kwenye biashara hiyo kwa mtaji wa angalau sh milioni nne njoo chukua duka lililo tayari uanze mara moja. Kwa mawasiliano zaidi 0678174862 au whatsapp 0656388678
Kuna wanunuzi wengine makini huwa hawapendi kuuliza uliza kama muuzaji hujaweka details za kutosha katika tangazo lako, wanapita tu.Eneo lilipo
Nguo za kike au kiume au mchanganyiko
Noted.Ingawa mimi sio mnunuzi lakini ungewarahishia maswali wanunuzi kama
Kuna wanunuzi wengine makini huwa hawapendi kuuliza uliza kama muuzaji hujaweka details za kutosha katika tangazo lako, wanapita tu.
Ta
Tabata, Dar. Picha naleta
Ta
Tabata, Dar. Picha naleta
Kodi inaishia tarehe 5 mwezi ujao. 140k per month unalipa kwa instalments za miezi 3Kodi? Imelipiwa mpaka lin+?
Eople they have money duuhkodi kwa mwezi bei gan, nimfikirie mchepuko wangu
140k mkuu inalipwa kwa miezi 3kodi kwa mwezi bei gan, nimfikirie mchepuko wangu
Sisi hatuondoki na kitu chochote hapo so mzigo plus vifaa vingine vyote 3.2mMzigo una makadirio ya kiasi gani?
Nimejibu hapo juu mkuu ni 3.2 m (milioni 3 na laki 2)na mauzo vipi yapoje
Namaanisha mauzo kwasikuNimejibu hapo juu mkuu ni 3.2 m (milioni 3 na laki 2)