Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

Hili duka ndo milioni 4 imelala hapo?
 
Namaanisha mauzo kwasiku
Jibu la hili ni gumu! Bila shaka ndilo suala linalofanya duka kuuzwa. Sikatishi tamaa wanunuzi kwani kuna wengine wenye ujuzi wa biashara au wanaweza kutumia frame kufanya biashara nyingine, ila ukiona mtu anauza duka jambo la kwanza ni kuwa hakuna biashara hapo.
 
Sababu ya kuuza nilishaieleza kwenye post ya kwanza. Kama una nadharia zako zingine hakuna anayekuzuia kusema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…