King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Jibu la hili ni gumu! Bila shaka ndilo suala linalofanya duka kuuzwa. Sikatishi tamaa wanunuzi kwani kuna wengine wenye ujuzi wa biashara au wanaweza kutumia frame kufanya biashara nyingine, ila ukiona mtu anauza duka jambo la kwanza ni kuwa hakuna biashara hapo.
Nimeisoma. Ila kumbuka hakuna anayesema anauza duka kwa sababu hakuna biashara.
Binafsi napenda huu utaratibu uliojiwekea sikuhizi wa kukomenti kwa kiingereza, najua unafanya hivi ili kujifunza zaidi.Let me vommit but i like thus language or you want me to speak my mother tongue kisambaa....?
I understand you and thank you so much i will keep learning day by day sometimes i watch vdeos on youtube i really want to know this language very well bcause i know why i want to learn this language i lost an opportunity bcause of this languageBinafsi napenda huu utaratibu uliojiwekea sikuhizi wa kukomenti kwa kiingereza, najua unafanya hivi ili kujifunza zaidi.
Mpaka umeweza kuandika hapa na tukaelewa unamaanisha nini basi hiyo ni hatua kubwa sana, maana hapa ndio wengi wanafeli kwenye kuthubutu, kazi kukosoa wenzao tu.
Hivyo we endelea hivyohivyo baada ya muda utakuwa mbali zaidi, ila usiache kufanyia kazi yale unayokosolewa ili kujiimarisha zaidi.
Hii ndo shida ya ku argue na wamakonde!!!Cha babako.
It has sunshine alreadySo i kust say people you...?
All the best bro...I understand you and thank you so much i will keep learning day by day sometimes i watch vdeos on youtube i really want to know this language very well bcause i know why i want to learn this language i lost an opportunity bcause of this language