Nilishaandikaga sana hapo nyuma namna mwanaume anaweza kupata mke mwema. The only way katika hii corrupted world, ukapata mke mwema ni kwa Mungu pekee. Na nikasema kabisa ili upate mke mwema lazima kwanza ukubali kusubmit under God's authority.
Mungu ndo atoaye jicho la ndani ili uweze kutambua nani ni mke. Katika maandiko ya imani yangu, neno linasema mke mwema ana thamani zaidi ya Ruby(Mith 31:10). Ikiwa wanaochimba madini wanafanya either ushirikina au kuomba Mungu (kama wapo) ili kupata madini na they mean business je si zaid mke mwema? Maana kama ana thamani kuzidi ruby, it means mke mwema ni very expensive.
Watu wanafunga biashara na kutenga siku kabisa ili fedha waikamate je si zaid mke mwema? Kumpata mke mwema ni nzuri zaidi kama utatafuta msaada wa kiroho ili umjue vizuri. Maana kuna makucha mwanamke anaweza kuyaficha ili ayaonyeshe baadae lakin Mungu aonae sirin lazima atakufunulia ikiwa umekaa nae vizuri. So ni lazima mwanaume asubmit under full authority of his Master ambae ni Bwana Mungu, ili apate kilicho chema.
Kuna ambao huwa wanaenda kwa waganga ili kujua kama mwanamke wa kuoa ndo huyu au siye. Sasa baadhi ya wanaume hawatafuti msaada kwa Mungu au basi upande wa pili watamjuaje mke mwema? Ndoa nzuri ni kipengele mno hasa nyakati hizi za mwisho. Bila msaada wa kiroho mambo hayataenda.
Wengne wataobject na kusema unaweza uonyeshwe na bado akaja kubadilika ni kweli. Lakin hata biashara, au fedha si ingeweza kuisha. Kama hauko tayari for the risks then dont marry or get married. Ndoa is for the strong. Only the strong shall win. Kila mtu apambane na chaguo lake.