Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

Ahsante mkuu
Umeandika point kubwa sana sana
Mala zote mimi kelphin nna amini katika upili na sio ukwanza wa jambo!
Ukiona mtu anaongea au kutenda kitendo ambacho ni cha kustaajabisha usikimbilie ku staajabu kama wengine
Bali uwe wa pili nyuma ya tendo
Jiulize KWANINI ASEME/ATENDE HILI JAMBO!! Hapo ndio mwanzo

Ndoa zinapungua kwasababu ya kile tunachokiona sisi tulio nje sio kuambiwa au hadithi za kale
Sasa kama wake za watu ndio hawa wanaotusumbua mtaani
Sasa tuowe ili?
Japo sio wote ila inatufikilisha sana
All in all ukiwaza namna ya ku mcontroll huyo mwanamke na akusikilize ndio shida ilipo pia
Mbona wote mnaopinga ndoa hamjui mnachokipinga. Sasa hao wake za watu kukikusumbua tatizo liko wapi ?
 
Ulaya hakuna migegedo ya bure kama huku Afrika. Ili ule bure ni lazima uwe kwenye ndoa.

Vinginevyo itakubidi uende kwa wafanyabiashara ya ngono ambao wanalipa Kodi kabisaa. Hivyo unapata mgegedo kwa gharama kubwa.

Huku Afrika unaoa ili ugundue nn wakati akina Mwajuma Mcharuko wanagawa bure??
Alokwambia Ulaya hakuna migegedo ya Bure ni nani ? Races zisikuchanganye mkuu Ulaya ni Top. Hata mwanamke kutongoza mwanaume kwao ni kawaida sana. Si Bora hao kina mwajuma mcharuko uweke hata ulimbo wa maneno au chips yai
 
Sipingi ndoa
Na lazima ntaowa tu
Note “LAZIMA”

Kwahyo mwanamke alieolewa akiliww nje shida ipo kwangu au kwake?
Tupo pamoja Mkuu.

Ikitokea mkeo ameliwa nje shida inaanzia hapo kweny kuliwa ? Je vishawishi vimemzidi nguvu ama ni yy amejirahisisha ?

Shida ya pili ni ww,. Umeruhusu vipi vishawishi vimzidi nguvu mkeo au umeoaje Mke Ambae anajirahisisha ?

Shida ya Tatu... Ni namna utakavyo-dili na hilo tatizo endapo limeikuta ndoa Yako.


Kwa faida : muda NAOA Babu yangu akapata wasaa wakunihusia kwenye yote nakumbuka mbili tu

1. Mwanamke aina mbili ya masikio.. haya yaliyo kichwani na moja lipo katikati ya mapaja. Usipolizibua vizur Hilo la chini basi haya ya juu hayatofanya kazi kwako.

2.Hakuna mwanamke mzuri kuliko uliemchagua (MTUNZE)
 
Yan unatafuta hela zako halafu unaoa mkizinguana mnagawana hizo mali na child support unatoa nakuwaona watoto nimpaka yeye akupangie
Mkuu Sheria za ndoa kama hujui uliza. Mtoto akifikisha miaka 7 unaruhusiwa kuchukua uishi nae. Sasa kwann usichukue wanao uishi nao , kuhusu swala la Mali inaonyesha wazi uoga wenu katika utafutaji.

Upande Wangu mm hata Demu akombe mali zote sio tu kugawana namuachia as long as nipo hai. Nitapata zaidi na zaidi ya hizo natufuta ili nitumie matumizi yote ni kutoa...iwe umenunua bia,umenunua chakula, umenunua mavazi yaani yote nikutoa, so utafutaji lengo kuu ni kuzifikia huduma na bidhaa basi na sio kulimbikiza. Asili ya kulimbikiza ni ya wanawake tu.

Hata kimaumbile, mwanaume asili yake ni kutoa na mwanamke asili yake ni kupokea au kulimbikiza. Utoa sperm zinaingia ukeni. Otherwise mseme na nyie mnaitaka hii asili ya kupokea na kulimbikiza mshee na wao
 
Mkuu wakati mwingine tunajaribu kuchangamsha genge tu ili kufikisha ujumbe uliokusudiwa, nimewaona watu walivyochatch feelings utafikiri anayezungumziwa hapa ni baba yao, mimi sijapitia hayo niliyoyaandika ila on a serious note wanaume waishi vizuri na wake zao na watoto wao maana tunayoyashuhudia huku duniani itoshe tu kusema kwamba yajayo yanasikitisha sana

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Lakini kuna divide and rule kubwa sana inayojengwa na wamama kwa watoto dhidi ya baba, anyway kuwa kichwa cha nyumba ni jukumu zito, mizigo na matatizo yote lazima baba ayabebe, akikosea kidogo the blame is massive, akipatia huenda hata sifa hapokei yeye.

Mimi nimejifunza kitu, be close to your children, haijalishi una uwezo mkubwa au mdogo, haijalishi unawapa 100% ya mahitaji yao au vipi , just love them na kuwa karibu nao. They'll love you back hata kama uwezo wako ni mdogo.
 
Ni kweli wanasema tunapata baraka tunapowatii wazazi wote wawili hawakusema tumtii aliekamili au mwenye mapungufu hata kama yalikuwa wazi au yalifichwa sio kazi yetu kuhukumu juu ya wazazi wetu
Kabisa Sophy, sjo kazi yetu kuhukumu. Wengine tupo ndani ya ndoa we're seeing that marriage is not a bed of roses.
 
Nimecheka sana baada ya kuona uzi huu.Hauko kwenye ndoa halafu unasema walioko kwenye ndoa hawana furaha!!That is assumption.

Niko kwenye Ndoa,mimi na familia yangu tuna furaha.Nimeridhika na mke wangu,natafuta pesa kwa ajili ya familia yangu,mke wangu nampanulia biashara mbalimbali huku na mimi nikizidi kupanua wigo wa pesa.Tukiamua kutanua na kuinjoi maisha tunainjoi kama familia na sio kibinafsi.Mtangulize Mungu kwenye Ndoa yako,penda kuonyesha upendo kwa vitendo na sio kutaka wewe pekee upokee huo upendo.Mnaotaka kuingia kwenye ndoa,wekeza nguvu na akili kufanya chaguo sahihi ili usije kujilaumu baadaye.Ambao hamna mpango wa kuingia kwenye ndoa,huo Ni mtazamo wenu kwasababu binadamu hatufanani na kila mtu anaishi maisha yake.Nainjoi maisha ya Ndoa...kabla sijaoa nilikuwa hatua moja ya maendeleo lakini baada ya kuoa nimepiga hatua mara kumi zaidi katika nyanya ya personal income na furaha binafsi.MAISHA HAYAFANANI!KILA MMOJA AISHI MAISHA YAKE AISEEE TUSILAZIMISHANE KUCHUKIA NDOA WAKATI WENGINE NDOA ZIMETUFANYA TUPIGE HATUA.
Hajalazimishwa mtu kuchukia ndoa, kama unafurahia ndoa yako ni wewe ila hiyo haiondoi ukweli kuwa wengi wenu mnateswa na ndoa zenu. Tunapoteza muda mwingi kusuluhisha matatizo yenu yasiyotuhusu na yasiyoisha!
 
Ushauri kutoka kwa FAILURE! Watu wapo ndani ya ndoa miaka mingi wamemtanguliza Mungu, Wanaishi kwa amani na upendo na wanazikabili changamoto mbalimbali vyema, Wewe leo unawausia vijana waendelee kuishi uzinzi ili wakifa waende motoni?? Shetani shindwa!
Kwa nini upoteze muda kukabili changamoto kwa kitu kisicho na maana yeyote? Yaani ukabili changamoto za ndoa, then what?
 
Sasa, faida ya kuoa ni ipi ambayo asyeoa haipati?

faida ninayoiona mm kwako unaweza isiwe faida, maana mm nilikuwa na sababu zangu, kwahiyo wewe kama huoni faida acha tu mkuu wala hulazimishwi mbona, hiyo ni hiari yako
 
Kwa nini upoteze muda kukabili changamoto kwa kitu kisicho na maana yeyote? Yaani ukabili changamoto za ndoa, then what?
Nadhani wewe sio binadamu utakuwa mmea, maana mimea ndiyo huishi bora kuishi.Lakini mwanadamu aliyekamilika anatambua ameumbwa ili kiendeleza kizazi.Na ili kutimiza hilo no lazima kuwe na mtu Me na Ke, na ili uzao uweze kustawi lazima muunganiko huo uwe imara.Ndiyo maana Uzinzi ni dhambi na Mungu amebariki ndoa.Unataka Binadamu waishi kama mbwa!
 
faida ninayoiona mm kwako unaweza isiwe faida, maana mm nilikuwa na sababu zangu, kwahiyo wewe kama huoni faida acha tu mkuu wala hulazimishwi mbona, hiyo ni hiari yako
Ndo muache kutusumbua na stress zenu, matatizo yenu mmalize hukohuko ndani.
Huku mtaani kila siku vikao vya kusuluhisha ndoa!
 
Nadhani wewe sio binadamu utakuwa mmea, maana mimea ndiyo huishi bora kuishi.Lakini mwanadamu aliyekamilika anatambua ameumbwa ili kiendeleza kizazi.Na ili kutimiza hilo no lazima kuwe na mtu Me na Ke, na ili uzao uweze kustawi lazima muunganiko huo uwe imara.Ndiyo maana Uzinzi ni dhambi na Mungu amebariki ndoa.Unataka Binadamu waishi kama mbwa!
Kuendeleza kizazi mpaka uoe!?
 
Back
Top Bottom