Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka moyo sana

Asante.
 
Najivunia mchumba wangu
 
mapenzi ya mbali sio shida shida inakuja pale mmoja wenu anapata huduma na mtu mwingine ndo utaanza kuona madharau na ubize kama wote vinginevyo mapenzi ya mbali matamu sana kila mkikutana mnaonana wapya mkuu
Chukulia mfano tu, mpenzi wako yuko kusini; na hizi mvua na kaubaridi injini imepata joto na inahitaji kupozwa, utafanya nini?
 
Chukulia mfano tu, mpenzi wako yuko kusini; na hizi mvua na kaubaridi injini imepata joto na inahitaji kupozwa, utafanya nini?
Changamoto tu maisha za hapa na pale kutafuta riziki lakini kama nampenda kweli siwezi kuvunja mahusiano yangu mimi na yeye maana anajua natafuta na nikipata ni chetu wote hivyo huwa anakuwa na subira sana kwani nampenda na yeye ananipenda
 
Hakuna kesi ngumu kama za wapenzi.Jitahidi muwe karibu.Sipendi ulielie.
Naenjoy sana mimi labda nyie mnafeli kwa kusikiliza maneno ya watu kua huyo sio wako tena ,

kama ipo ipo tu kikubwa mawasiliano tu yawe safi na kuacha kusikiliza maneno ya watu kama yaliwatokea wao , wewe rekebisha yasikutokee, , ,
 
Mapenzi ya mbali yanahitaji moyo na upendo wa dhati kutoka moyoni, uaminfu na kujitambua sana, mara nyingi watu wanafeli kutokana na kutokuwa waaminifu na kukosa upendo wa dhati..
Tuko pamoja Nifah
Have you ever come "desire" examination?Na kwa nini muwe mbali?Juzi tu mheshimiwa waziri ametamka na kuwataka weznza wakae pamoja.Hili ni jambo sensitive mnoo.Laa sivyo,hasa kwa watumishi wa umma watapotea/kufa sana.Muishi pamoja.Stay as close as together like witches!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…