Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka moyo sana

Naenjoy sana mimi labda nyie mnafeli kwa kusikiliza maneno ya watu kua huyo sio wako tena ,

kama ipo ipo tu kikubwa mawasiliano tu yawe safi na kuacha kusikiliza maneno ya watu kama yaliwatokea wao , wewe rekebisha yasikutokee, , ,
Nipo na shangazi yako kwa miaka 21.Nakupa "kapiriansee"/expiriance mkuu.Ndoa siyo maigizo.This is for real,my hommie!
 
Kwa kweli namshukuru Mungu mke yupo mbali lakini ninamuhandle kama nipo nae karibu.

Kubwa sifikirii anachepuka au laa maana kama mchepukaji hata akiwa karibu anachepuka tuu, ni kuijenga akili kuwa mtu wangu ananipenda basi mengine achana nayo
Nifah naongopa hapa
 
Nipo na shangazi yako kwa miaka 21.Nakupa "kapiriansee"/expiriance mkuu.Ndoa siyo maigizo.This is for real,my hommie!
Moisemusajiografii
Wanasema aliwazalo mtu ndilo limfikalo,

Kutokana na aina hii ya mahusiano
Tunaeza kuyatafasili katika mitazamo miwili yote ni kutokana na mlengwa mwenyewe

Lakini kuna kupendana na siyo kuvutana au kuvutia pande moja,

Ukibahatika kuvuta kwa pamoja hakika utafurahia mnoo hata ikiwa itakuwa umbali kiasi gani.
 
Changamoto tu maisha za hapa na pale kutafuta riziki lakini kama nampenda kweli siwezi kuvunja mahusiano yangu mimi na yeye maana anajua natafuta na nikipata ni chetu wote hivyo huwa anakuwa na subira sana kwani nampenda na yeye ananipenda
Tatizo ni asili uliyoumbwa nayo; kichupa kikijaa kinatakiwa kipunguzwe baada ya muda fulani; tofauti na hivyo unaweza kuanzisha kijitabia ambacho si kizuri.
 
Utakuja kulia mdomo juu kama mbwa
 
Utakuja kulia mdomo juu kama mbwa
Kinacho kwamisha mapenzi ya mbali mawasiliano tu,
Mtu mpaka umtafute usipomtafuta imetoka iyo ata mwezi unaisha hapo hakuna love,

Bcoz mtu unampenda toka moyoni ukipitisha siku basi nimoja mbili zaidi ya hapo ni (???????) Maana unaweza kuangaika na mtu kumbe nae anahangaika na mtu mwingine ambae hawezi kulala bila kusikia sauti yake.
 
Fimbo ya mbali haiui Nyoka!
Wahenga hawakukosea huu usemi
Waliona mbali πŸ˜ƒ
Fimbo ya mbali......
Oky but umbali hulifanya penzi baina ya wapendanao kuteteleka kama wapendanao hawatafanya kazi za ziada kuhakikisha wanaziba mianya yote itakayosababisha usaliti kama sio kuachana kabisa.i.
 
Sawasawa.Sasa ingia ulingoni uione ngondo!
 
kinachotokea hapo sasa ni either tukuzike au ubaki kilema ukiugulia maumivu πŸ€’πŸ˜Ž
Mawasiliano ni nguzo muhimu sana baina ya wapendanao, humfanya kila mtu kuhisi uwepo wa mwenzi wake hata kama atakuwa mbali naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…