Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka moyo sana

Wahenga walisema "Fimbo ya mbali haiui Nyoka"

Hivyohivyo watu walio mbali yako hawawezi kukuua wala kuua ndoto yako ila watu wa karibu, ulioruhusu wakujue vizuri, ulioruhusu ukaribu nao.
.
totoadela
Watu8
 
Kimwili haiwezekani au next to impossible,ila kiroho inawezekana,lazima muwe karibu sana na Mungu kwa maombi na sala kwani kitendo hicho ni sawa na kuingia vitani bila bunduki,hakunaga shetani anayeshindwa kirahisi hivyo...
 
Long distance r/ship Is very good as long as the four of you are all happy.
 
Bila pesa hakuna cha uzalendo,subira,uaminifu wala nini....wanawake wa sasa angalau ukiwa na pesa atadumu na wewe hata kama hakupendi atapenda pesa zako!
 
Mapenzi ya mbali ni kupotezeana muda.
Ili kuepuka changamoto za kutengana na mtu ambaye unamuhitaji katika maisha yako ni vyema ukaanza kujifunza pole pole kutoka kwake ili siku ukiwa mbali naye ujue kipi mwenzako anapenda na kipi hakipendi mnapokuwa mbali
 
Bila pesa hakuna cha uzalendo,subira,uaminifu wala nini....wanawake wa sasa angalau ukiwa na pesa atadumu na wewe hata kama hakupendi atapenda pesa zako!
Japo pesa inachangia kwa kiasi furani ilaa Mawasiliano huimarisha mapenzi na hufanya wahusika kujihisi wapo pamoja.

Inapotokea kuwa na ufinyu wa mawasiliano ndipo hali ya mapenzi ya upande mmoja hupungua na kuhisi kwamba tayari mwanamke/mwanaume tayari ameshapata mwingine wakumfanya asifanye mawasiliano ya mara kwa mara
 
mbunye ni mbunye tu
Mpenzi ya mbali ni mazuri bcoze Hakuna kusumbuana kila mtu na mishe zake yaan tutaonana kwenye mawasiliano tusipo wasiliana tunasema true love never die πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…