Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Kila kitu kina mwanzo wake na ukiamua liwe MUNGU huwa anabariki jitihada Kama nauli ya bad n 20k hakikisha Unasafiri kwa 10k la unakula milo mitatu jaribu kula katikati ya mchana na usiku pata mbuz zako 15 au 10 uza Buchan au jikon Rudi fasta kafunge mzigo baada ya mwez mtaji utakuwa unakupa moyoMkuu... Sasa kwa kijana kama mimi nitaanzaje na kamtaji kenyewe laki tatu... Kuna kutoka hapo kwel au