Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Mkuu... Sasa kwa kijana kama mimi nitaanzaje na kamtaji kenyewe laki tatu... Kuna kutoka hapo kwel au
Kila kitu kina mwanzo wake na ukiamua liwe MUNGU huwa anabariki jitihada Kama nauli ya bad n 20k hakikisha Unasafiri kwa 10k la unakula milo mitatu jaribu kula katikati ya mchana na usiku pata mbuz zako 15 au 10 uza Buchan au jikon Rudi fasta kafunge mzigo baada ya mwez mtaji utakuwa unakupa moyo
 
Vipi Bei iko je huko mashambani kwa sasa na upatikanaji wake?
 
Mbuzi hana changa, to kumfuga maana wenyewe hata wakati wa kiangazi wanna survive Sana. Mimi nina mpango wa kuanza ufugaji. Kama kuna chimbo la Bei nzuri nipe mtonyo
 
Jana kulikua na mnada mtiriangwi,minada inaenda kwa tarehe Leo ulikuwepo Gwandi Wilaya ya Chemba!
Usafiri upo kuna magari ya minada pia!Mimi nilienda majuzi nilienda majuzi nimesavei sana tu!ukiwa tayari ntafute!
Mzigo pesa yako tu!
Nime ku PM ndugu
 
Nilienda Soga kiwandani kwa kweli wale watu wamejipanga and they mean business. Ila kuna new strategy ambayo wamekuja nayo kwamba wameanzisha centres huko huko za kununua, hivyo ile adha ya kusafirisha wamempunguzia supplier ila hapa naona hapa kutakuwa na changamoto kwasababu wenyeji wakishalijua hili soko hawatahitaji kutuuzia tena sisi watu wa kati ambao tutaenda kuuza kiwandani. Hapo ndipo linalokuja lile wazo langu la kuanzisha shamba la ufugaji, hamna namna nyingine.
 
Fursa vp mbona umefunga DM.....nimekuchek
Aisee pole sana. Nadhani account yangu ulipata shida kidogo nadhani **** , tu Ali hack ikabadilishwa email hivyo kila nilijaribu kukoment inakataa.

Nimeshashughulikia hilo tatizo. Jaribu tena.

Ila kama nilivyokua,bia huu michongo nilipewa hivyo mrejesho nitaleta baada ya kurudi. Ndio kwanza mzigo unaondoka kesho japo mimi nimeondoka leo na kufika eneo la tukio.

Stay tuned.
 

Mkuu!! Hizo centers za kununua wanatumia utaratibu upi kuhusu malipo? Mzigo unapelekwa kiwandani ndo unalipwa au wanapima live weight?
 
Mkuu!! Hizo centers za kununua wanatumia utaratibu upi kuhusu malipo? Mzigo unapelekwa kiwandani ndo unalipwa au wanapima live weight?
Wakifanya kulipa baada ya mzigo kufika kiwandani basi soko litaendelea kuwepo.
 
Jana kulikua na mnada mtiriangwi,minada inaenda kwa tarehe Leo ulikuwepo Gwandi Wilaya ya Chemba!
Usafiri upo kuna magari ya minada pia!Mimi nilienda majuzi nilienda majuzi nimesavei sana tu!ukiwa tayari ntafute!
Mzigo pesa yako tu!
Safi sana
 
Imepanda kumbe safi sana
 
Hii tape inatumika kupima uzito wa mifugo kama mbuzi na nguruwe.

KWA wale ambao tunataka kuanza biashara ya Mbuzi nadhani itatufaa Sana kwenye kuweza kufanya makadirio ya kilo titakazo pata kiwandani ama popote pale

Ninaitafuta sema kwa hapa bongo sijui inapatikana wapi? View attachment 1960667View attachment 1960668
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…