Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Ila bro haiko simple kama unavyoilezea hapa, pipo tushaingia field tumeona mziki wake ktk kupata hao mbuzi...tumebaki kushangaa tu, mana mafanikio tuliyokuwa tunayawaza baada ya kusoma huu uzi ni magumu mno kuyafikia japo inawezekana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mziki mziki hasa. Siku zote hesabu za kuandika ni nzuri na zinatia matumaini sna. Ila uhalisia ni tofauti na kilichoandikwa. Labda kipindi anapiga hizo mishe yy mambo yalikuwa rahisi. Sasa hivi bei pasua kichwa afu mbuzi bua. Ukiwa na lak 8 ukapata faida ya 20k unashukuru Mola.
 
Natamani sana nipate mawasiliano yako tujenge kitu..boss wangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila bro haiko simple kama unavyoilezea hapa, pipo tushaingia field tumeona mziki wake ktk kupata hao mbuzi...tumebaki kushangaa tu, mana mafanikio tuliyokuwa tunayawaza baada ya kusoma huu uzi ni magumu mno kuyafikia japo inawezekana.
Inabidi uangalie muda , unaotumia kuwekeza hiyo 800000 na faida unayopata ingekuwa sawa unatumia muda mwingi alafu ukiweka 800000 Alafu faida hata iwe400000 hapo sawa kwa mwezi unaweza kushangaa unaota mzigo Mara moja tu Alafu kwa 96000 sio sawa alafu biashara yoyote ambayo faida ni chini ya 20% ya mtaji na mzunguko wake kwa mwezi ni Mara moja sio biashara hiyo
 
Habari wakuu
Naitaji mbuzi wakufuga 100 shamba lipo Bunju barabara ya mtwara kwa bei isiozidi 5M
 
Biashara haitabiriki siku hizi unashangaa unakula mzinga pia hyo 800k bei ziko juu sana
 

Nzuri sana hii
 
Mpuuzeni hili tapeli
 
alafu biashara yoyote ambayo faida ni chini ya 20% ya mtaji na mzunguko wake kwa mwezi ni Mara moja sio biashara hiyo
hiyo kanuni ya "chini ya 20% sio biashara" umeitoa wapi?
usiseme ''biashara yeyote" unless una uhakika na una formula za kitaalam

mtaji wa milioni 100 inayozunguka mara moja kwa mwezi na kuzaa faida 20%, yani 20 mil kwa mwezi.... hiyo sio biashara hiyo ?
 
Achana na MJUAJI huyo, Kama yeye ana pesa sjui kafata nn kwenye Uzi huu
 
Tatizo wanachinja usiku na huwa mbuzi ni wengi sana labda zaidi ya elfu 5 na wanakuwa wamechanganywa kutoka sehemu mbali mbali ni ngumu kuingia kiwandani kusubiria mbuzi wako wachinjwe na in short utaratibu wao uko hivyo, lakini they are reliable.
Hapa ndio pagumu
 
Mkuu umenipa njia nzuri sana nashukulu sana kwa moyo wako naomba ningepata unisaidie kunipa namba hata mtu mjo ambaye anaweza nisaidia kueafikia madalali wa urangin bro unipe uwenyeji kidgo nataka kufanya no w bro
 
Au bora wangenunua Mbuzi kwa kuzingatia Live weight..

Waseme kwa mfano Mbuzi hai tukimpima uzito tunakulipa let say Tsh. 2000/kg kisha wanawapima wanakulipa chako wewe ukishuhudia..
Daah licha ya live weight ila bado kuna ujanja ujanja mwingi sana kwenye hivi viwanda vya nyama(nina experience kidogo na hawa Eliyafood Oversea products wanaopatikana Arusha) yani hawa wakina Gupta ni watu wakukaa nao kimachale sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…