Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Hbr ya Leo wadau, nilipenda kuhuliza mwenye update ya wastani wa bei ya mbuzi na kondoo kwa soko la vingunguti pia Pungu kwa sasa
 
Biashara nyingi Tanzania za kilimo na ufugaji zinatesa watu na kukosa tija sababu ya kukosa uhakika wa soko! Hilo tu yani ndio maana kilimo watu wanaki bullshit!

Ila kungekuwa na maviwanda kama haya mengi ingepunguza sana tatizo la ajira!
Mkuu soko linatafutwa na hizi bidhaa za nafaka soko lipo nje nje [emoji14] sema wazembe na wasiojua wanalalamika tu
 
Daah licha ya live weight ila bado kuna ujanja ujanja mwingi sana kwenye hivi viwanda vya nyama(nina experience kidogo na hawa Eliyafood Oversea products wanaopatikana Arusha) yani hawa wakina Gupta ni watu wakukaa nao kimachale sana
Tujuze ulichokigundua kwa Eliya Food Ltd mkuu, maana kuna watu soon tunataka kuanza kupeleka mbuzi huko. Kama ni mapichapicha tuache.
 
Habari zenu kwa walio mikoani na wanataka bidhaa Dar es salaam iwe spare,mavazi,vipodozi,simu, na Chochote kile ambacho ni rahisi kupatikana kwa

Dar es salaam nipo hapa kwa kuwachukulia bidhaa Unayoitaka na kukusafirishia uaminifu ni asilimia mia
Ondoa shaka nipigie kwa namba hizi kwa Mazungumzo zaidi

0621217710
0718775701
 
Ungefungua uzi wako maalum.Ungeomba sapoti ya mods wakutambue na ikuwezekana uwe verified. Hii kujichomeka tu kwenye uzi wa mbuzi halafu wewe utake kuwanunulia watu spare!???Nachelea unaweza kuonekana tapeli ukakosa wateja. Samahani lakini
 
Wakuu salaam..! Nimepata chimbo la mbuzi bei kitonga lipo Morogoro, nataka nianze hii biashara. Nahitaji wanaopeleka kiwandani tupeane uzoefu
 
Back
Top Bottom