Boss kwema? Najaribu kuzama inbox yako nakatiliwa kaka.naomba namna nyingine ya kukupata.Njoo tuyajenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss kwema? Najaribu kuzama inbox yako nakatiliwa kaka.naomba namna nyingine ya kukupata.Njoo tuyajenge
Mkuu soko linatafutwa na hizi bidhaa za nafaka soko lipo nje nje [emoji14] sema wazembe na wasiojua wanalalamika tuBiashara nyingi Tanzania za kilimo na ufugaji zinatesa watu na kukosa tija sababu ya kukosa uhakika wa soko! Hilo tu yani ndio maana kilimo watu wanaki bullshit!
Ila kungekuwa na maviwanda kama haya mengi ingepunguza sana tatizo la ajira!
Kwa siku wanachinja mbuzi 1000-2500. Unaweza arrange ukashuhudia mbuzi wako wakichonjwa na kupimwa bila tatizo.Hapa ndio pagumu
Kwa siku wanachinja mbuzi 1000-2500. Unaweza arrange ukashuhudia mbuzi wako wakichonjwa na kupimwa bila tatizo.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Tujuze ulichokigundua kwa Eliya Food Ltd mkuu, maana kuna watu soon tunataka kuanza kupeleka mbuzi huko. Kama ni mapichapicha tuache.Daah licha ya live weight ila bado kuna ujanja ujanja mwingi sana kwenye hivi viwanda vya nyama(nina experience kidogo na hawa Eliyafood Oversea products wanaopatikana Arusha) yani hawa wakina Gupta ni watu wakukaa nao kimachale sana
Ungefungua uzi wako maalum.Ungeomba sapoti ya mods wakutambue na ikuwezekana uwe verified. Hii kujichomeka tu kwenye uzi wa mbuzi halafu wewe utake kuwanunulia watu spare!???Nachelea unaweza kuonekana tapeli ukakosa wateja. Samahani lakiniHabari zenu kwa walio mikoani na wanataka bidhaa Dar es salaam iwe spare,mavazi,vipodozi,simu, na Chochote kile ambacho ni rahisi kupatikana kwa
Dar es salaam nipo hapa kwa kuwachukulia bidhaa Unayoitaka na kukusafirishia uaminifu ni asilimia mia
Ondoa shaka nipigie kwa namba hizi kwa Mazungumzo zaidi
0621217710
0718775701
Ngoja waje watupe muongozo mkuuNapenda kujua kuhusu vibali vya kusafirisha na gharama zake, soko langu lipo Mutukula border ya Uganda. Mbuzi nataka kuwa nawatoa Morogoro
Nenda ofisi ya mifugo ya Wilaya uliyopo waulizie taratibu/vibali.Napenda kujua kuhusu vibali vya kusafirisha na gharama zake, soko langu lipo Mutukula border ya Uganda. Mbuzi nataka kuwa nawatoa Morogoro