Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Samahani chief iyo bei ya kiwanda cha wapi maana nami nataka kupekeka
 
Mbuzi ki kawaida ana kilo ngapi
 
Wastani ni 8,9,10 15 ni mbuzi wa kati mbuzi wa laki anaweza fika mpaka 19 kg ila kiwandani wanachoice zao wanapendelea mbuzi awe na kilo 9- 15
 
Habari yako kiongozi samahani kwa usumbufu nilikua nahitaji kufahamu kuhusu hii biashara ya mbuzi, japo naona ni post ya muda mrefu kidogo, je? Hakuna vyaraka au vibali vyovyote vya kiserikali ambavyo labda vitahitajika kama utambulisho labda wa mlipa kodi ili mtu aweze kufanya hii biashara ya mbuzi.
 
HIVYO VITU VYA NDANI NDIO MBASA ANACHUKUA ANATUUZIA MAINI ELFU 3
KILA KONA UKIPITA UNASIKIA KARIBU MBASA BUCHER MAINI ELFU 3, KICHWA CHA MBUZI BUKU.
 
Uiishapiga hesabu wakiwa mbuzi 200 unapata kias gan kila wiki?
 
Umefikia lengo?
 
Update??
 
Aliyepo kanda ya Ziwa na anafanya hii Biashara naomba taarifa zifuatazo juu ya hii Biashara:-

1. Maeneo/ minada ya mbuzi inapatika wapi haswa Kwa wingi?

2. Bei ya mbuzi Kwa misimu tofauti tofauti

3. Kiwanda/ Viwanda vinavyonunua mbuzi vipo mikoa gani na Kwa kilo moja wananunua shilling ngapi?

4. Kadrio la chini la mtaji ambao mtu anaweza anza nao.

5. Kutokana na sehemu uliyopo, je gharama ya uendeshaji Hadi mbuzi kumfikisha kiwandani inaweza gharimu shilling ngapi?

Ahsante.
 
Naweza kupata namba yako mkuu 0682896202
 
Asante.
Aliyefanya utafiti kea sasa stupe update hali ya Biashara hii ikoje?
 
Muungwana na mwenye mapenzi mema na watu aliweka wazo la Biashara hapa na mchanganuo wake ili atakayeona linafaa alifanyie Kazi.

Hoja yangu kwako kama na wewe ni muungwana weka hapa mchanganuo wa biashara yako hiyo yenye faida kubwa ya zaidi ya 360k KWA wiki mbili, unaweza ponya wengi. Karibu tunasubiri
 
Wastani ni 8,9,10 15 ni mbuzi wa kati mbuzi wa laki anaweza fika mpaka 19 kg ila kiwandani wanachoice zao wanapendelea mbuzi awe na kilo 9- 15
Hongera KWA kufanikiwa kufika kiwandani.
Naomba kujua kama ulifanikiwa kufatilia je! Hadi sasa BADO wanapima nyama tu na vitu vingine kama Ngozi, matumbo na kwato hawamlipi Supplier?
Vipi kuhusu bei za MBUZI kama zamani 2021 alipotoa hoja hii Mr Jabel ilikua Kati ya 30-70 je! KWA SASA hali bei shambani zipoje?
Yeyoye aweza tusaidia.
Barikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…