Kama una mtaji hizi ndio Ajira mkononi

Wewe umebuni nini? Isije ikawa unawashangaa wenzio kumbe we mwenyewe huna ulilofanya.
 
Hii ni mipango mikubwa kidogo tofauti na maelezo ya maada
 
Hiyo ndio shida yenu wenye elimu kudharau wasio na elimu mkidhani hawataweza kutobo mwisho wa siku hao wasiosoma wanajichukulia point kadhaa za ushindi mapema.

Biashara sio maneno , vitendo, uvumilivu, imani, kujituma, heshimu watu na ubunifu hata kama na degree zako zimelala kichwani ukienda haraka unalazwa chali.

Sanaa ingekuwa rahisi basi kila mmoja angekuwa muandika mashairi jaribu kuvipa thamani vipaji vya watu sio kwa sababu msomi ukategemea kila jambo utalifanya kwa wepesi bila kupambana.
 
Suala sio form four failure je kichwa kinawaza nini?

Biashara nzuri ni manufacturing
Tuache biashara za uchuuzi
Kuna jamaa humu ana uzi wake wa machine mbalimbali huyu jamaa ame ni inspire sana

Kuna vitu ukiangalia tu na wewe unaweza kutengeneza chako mfano machine ya kukunia nazi hii kitu me nikikaa nayo masaa 2 tu natengeneza yanguu

Na sio lazima ujue Kila kitu ili kuweza kufanya Kila kitu technologia ni rahisi sana siku hizi fursa kibao graduates wanasubiri ajira!
 
1.Dox la viatu soko lake memorial Moshi Kilimanjaro
2.Sigara maeneo ya city center
3.Vitabu mbali mbali
4.Vitu vya watoto na urembo
5.Ma cover ya simu na protector
6.Mikoba
Niliwahi kusema humu aina za mawazo ya Biashara za sisi Wabongo yanatia wasiwasi sana, Hizi Biashara ni za kusaidia Familia ila sio biashara endelevu kamwe
 
Level MUST tunaanzia small scale kwa target [emoji457][emoji457][emoji457] wakuu mm nmelima vitunguu swaumu kwa SIMU ntawapa mrejesho though natumiwa FOTO ya kila stage navuna wa 9.. INSHALLAH
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na uko serious kabisa bro? Anyway labda anayekulimia na kusimamia ni malaika Gabriel.
 
Hilo la kutunga nyimbo linahitaji kipaji

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Sasa mkuu kutunga nyimbo ndo biashara ya graduates et.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…