G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 1,254
- 2,519
Kijana kumbe huna taarifa za Eneo lako unaloishi, emu uliza hao watumishi wa afya hapo kila siku wanaenda kubanana huko Mbweni hospital ofisi ya Physiotherapist kufanya mazoezi ya viungo bure bure alafu hao ndo utegemee waje kulipia Gym??Una mawazo mgando sn kwahyo unaona kila mtu maskini,! Kwa taarifa yako kuna watumishi zaidi ya 70 idara afya, elimu, Halmashauri had polisi tuko willing na gym ata kiingilio ikiwa laki Tatu kwa mwezi, tumekosa gym kias kwamb mpk tunakuwa na jogging za watumishi.