Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 515
- 1,015
Wasalam mabibi na mababu,
Kama mnavvojua wilaya ya handeni - Mkata kwa sasa ni sehemu inayokuwa kwa kasi sana.
Kuwepo kwa Ofisi za Halmashauri Mkata, Hospital kubwa ya wilaya, Lakini yote kwa yote ni mji uliokuwa na muingiliano na watu tofauti tofauti kama vile watumishi wa umma, wafanya biashara tofaut na hapo mwanzo mji ulikuwa na wenyej tu wenyewe wazigua.
Katika tafiti nilofanya Nimeona kuna watu wengi sana katika Mji huu ambao wanahitaji kufanya mazoezi kwa kupunguza mwili au kuweka mwili Fit lakini hakuna kasehem ata cha dawa cha kufanya mazoezi.
Hivyo kama una hela asee ukifungua gym utapiga hela sana huku mana wateja wapo wengi na mimi nikiwa Miongoni Mwao. Karibuni muwekeze bandugu