Kama una mtoto Saadani Sec mhamishe haraka

Kama una mtoto Saadani Sec mhamishe haraka

Mangatara
umesema hakuna mzazi humu Jf mwenye mtt pale ndo nikasema km huna mtt pale pita kimya inatosha,, Alafu umesema siishi kulalama Jf aiseee nimelalalmika lini mkuu.
Zaid sina interest yoyote zaid ya kulalama mzzingira mabovu tuuu.
Labda unipe uzi wangu wa malalamiko ambao ww unaujua.

lazalaza;
Soma uzi wako huu tangu mwanzo. Watu wanakuambia acha malalamiko yako hayo. Kama ulitaka vizuri, andika juu ya mateso watoto wa hiyo shule wanapata na utoe solution sio kuwaambia wazazi wawatoe watoto wao pale. Wawapeleke wapi?? Mzazi asiyeweza kuchangia hata 1000 ya tuition unamwambia amtoe mtoto hapo. Ampeleke wapi? Au ni hivyo vijisenti vyako umevitumia kumtoa wa kwako ukadhani ni wote wenye uwezo?
Mtu wa Saadani, kula yake ni mlo mmoja tena wa shida, vaa ya kigoli pale, ni kaniki. Huoni huruma ya hayo maisha, unawaambia wawatoe hao watoto wao huko shuleni??
Ndg si kwamba nakushambulia bure, nasema; Toa solution nyingine sio ya kuwaondoa watoto kule shuleni.
 
Matangara:
Hata weee unaweza kutoa suluhisho la tatizo hilo pia km unajua suluhu la tatizo toa.
Hela zangu ww hazikuhsu kbs kbs km unakujua huko fanya jitihada ya suluhu mkuu
 
Unasoma hapo?,kama husomi hapo achana na hii habari,kwani nina uhakika waliopo hapo hawajafungwa kamba kuzuiwa kuondoka au kuzuiwa kuwaambia walezi wao,huku ni kuharibiana tu

Sent from my iPhone using JamiiForums app

mkuu vipi mbona unatokwa povu shule ya babu yako nini?
 
Haipo Mafinga hii shule, ipo wilaya ya Mufindi kijiji cha Sadani barabara ya kwenda Madibira, wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya. Nilishawahi kufika hapo mwaka 2004.

Foundation
Nashukuru kwa maelezo yako miye Jiografia ya hiyo sehemu F kabisa
 
Kati ya vijiji vilivyoendelea basi Saadani afadhali kidogo, na hata shule hii wakati ule ilikuwa nzuri. Sasa sijui kwa sasa. Au Ulanzi na Komoni umewazidia walimu na viongozi wa shule

Mkuu miye ndo kwanza nimeijua mwaka huuu nilikuwa hata sijawahi isikia hata mara moj
 
Acha uboya wewe nimesoma hapo na nimemaliza hapo
enzi za Msungu shule ni nzuri, nimepita juzi, papo vzur tena sana ukifananisha na enz zetu, hayo mapungufu madogo madogo yanarekebishika na unasema wanalala kwenye magodown, yale mabweni umeyabunua ww ukayaweke hom kwkwako,?????
 
Usiandike tuuu sababu umeandika, km mm naandika kwa uongo basi waulize watoto waliokuwepo pale, km hawalali huko.Inawezekana mlikuwa wachache na huduma zilikuwa zinawatosheleza.
 
Du mkuu acha uongo usio kua na tija! Kwanza si kweli kuhusu kulala kwenye gowdown la kanisa kweli wanatumia maji ya MTO sawa chakula wanakula kama shule nyingine za serikali bana na sema hayo kwa sababu nimewah kufika mahali hapo kumpeleka Mdogo wangu.
 
Lakini pia hawana walimu wa kutosha kama shule zingine. Huyo mwanao mhamishe sawa ila kuna vitu kakudanganya mkuu
 
Du mkuu acha uongo usio kua na tija! Kwanza si kweli kuhusu kulala kwenye gowdown la kanisa kweli wanatumia maji ya MTO sawa chakula wanakula kama shule nyingine za serikali bana na sema hayo kwa sababu nimewah kufika mahali hapo kumpeleka Mdogo wangu.

Mdogo wako alisoma mwaka gani mkuu,, kwenye gowdown wanalala na maji wanatumia hayo pia, na wanaenda wanapasupa kuni pia.Inawezekana mdogo wako alisoma Enzi ya mwalimu asante
 
Mdogo wako alisoma mwaka gani mkuu,, kwenye gowdown wanalala na maji wanatumia hayo pia, na wanaenda wanapasupa kuni pia.Inawezekana mdogo wako alisoma Enzi ya mwalimu asante

Ilisoma mwaka 2011 Form five kabla haja hamia shule ingine kweli kuna matatizo ila sio the way unavyoyakuza tena hilo la kulala kwenye gowdown ndio la uongo me niliona bweni lao lina mbona lina vitanda mkuu
 
Tena advance imeanzishwa 2010.Inaitwa Sadani sio Saadani.Generally mazingira sio mazuri kwa kusoma but sio kama ulivyoyapamba hayo matatizo
 
Back
Top Bottom