Mangatara
umesema hakuna mzazi humu Jf mwenye mtt pale ndo nikasema km huna mtt pale pita kimya inatosha,, Alafu umesema siishi kulalama Jf aiseee nimelalalmika lini mkuu.
Zaid sina interest yoyote zaid ya kulalama mzzingira mabovu tuuu.
Labda unipe uzi wangu wa malalamiko ambao ww unaujua.
lazalaza;
Soma uzi wako huu tangu mwanzo. Watu wanakuambia acha malalamiko yako hayo. Kama ulitaka vizuri, andika juu ya mateso watoto wa hiyo shule wanapata na utoe solution sio kuwaambia wazazi wawatoe watoto wao pale. Wawapeleke wapi?? Mzazi asiyeweza kuchangia hata 1000 ya tuition unamwambia amtoe mtoto hapo. Ampeleke wapi? Au ni hivyo vijisenti vyako umevitumia kumtoa wa kwako ukadhani ni wote wenye uwezo?
Mtu wa Saadani, kula yake ni mlo mmoja tena wa shida, vaa ya kigoli pale, ni kaniki. Huoni huruma ya hayo maisha, unawaambia wawatoe hao watoto wao huko shuleni??
Ndg si kwamba nakushambulia bure, nasema; Toa solution nyingine sio ya kuwaondoa watoto kule shuleni.