Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
McLaren ni ndoto ya wapenzi wengi wa magari. Ila bei sio rafiki. Mfano, hii McLaren Senna inauzwa MSRP $1,000,000 ambayo ni kubwa sana.
Sasa McLaren wametengeneza Sena 30 ambazo ni toy, zenye scale ya 1:8 ukicompare na original car.
Hii itauzwa $21,000/= tu na ipo sokoni tayari tokea jana ilizinduliwa kwenye F1 Monaco GP.
Mwenye uhutaji afanye upesi, zipo 30 tu.