Kama una ndoto ya Kumiliki McLaren, ndoto yako inaweza kutimia. Wametengeneza McLaren Senna Cheap

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
McLaren ni ndoto ya wapenzi wengi wa magari. Ila bei sio rafiki. Mfano, hii McLaren Senna inauzwa MSRP $1,000,000 ambayo ni kubwa sana.
1280px-McLaren_Senna_prototype.jpg

Sasa McLaren wametengeneza Sena 30 ambazo ni toy, zenye scale ya 1:8 ukicompare na original car.

mclaren-senna-1-8-scale-senna-sempre-livery-by-amalgam.jpg

Hii itauzwa $21,000/= tu na ipo sokoni tayari tokea jana ilizinduliwa kwenye F1 Monaco GP.

Mwenye uhutaji afanye upesi, zipo 30 tu.
 
McLaren ni ndoto ya wapenzi wengi wa magari. Ila bei sio rafiki. Mfano, hii McLaren Senna inauzwa MSRP $1,000,000 ambayo ni kubwa sana.
View attachment 3001019

Sasa McLaren wametengeneza Sena 30 ambazo ni toy, zenye scale ya 1:8 ukicompare na original car.

View attachment 3001022

Kumbe ni toy that mean doesn't work but it for show off
 
McLaren ni ndoto ya wapenzi wengi wa magari. Ila bei sio rafiki. Mfano, hii McLaren Senna inauzwa MSRP $1,000,000 ambayo ni kubwa sana.
View attachment 3001019

Sasa McLaren wametengeneza Sena 30 ambazo ni toy, zenye scale ya 1:8 ukicompare na original car.

View attachment 3001022
Hii itauzwa $21,000/= tu na ipo sokoni tayari tokea jana ilizinduliwa kwenye F1 Monaco GP.

Mwenye uhutaji afanye upesi, zipo 30 tu.
Huyo ataendesha chumbani kwake🤪
 
Ni sawa tu. Ni kama Toyota walivyotengeza Prado (Light LC)...kuwapa uwezo wanaoshindwa kununua heavy duty LC. Na Prado zimekamata haswa.
 
[
McLaren ni ndoto ya wapenzi wengi wa magari. Ila bei sio rafiki. Mfano, hii McLaren Senna inauzwa MSRP $1,000,000 ambayo ni kubwa sana.
View attachment 3001019

Sasa McLaren wametengeneza Sena 30 ambazo ni toy, zenye scale ya 1:8 ukicompare na original car.

View attachment 3001022
Hii itauzwa $21,000/= tu na ipo sokoni tayari tokea jana ilizinduliwa kwenye F1 Monaco GP.

Mwenye uhutaji afanye upesi, zipo 30 tu.
Hii ya pili ntanunua kwa sababu Ina rangi za bendela yetu
 
Sasa mkuu hizo chuma kwa barabara za bongo si ni kujitafutia pressure tu aise.
 
Back
Top Bottom