Kama una Ndugu au Mpenzi anafanya Biashara ya Magendo ya Mkaa Mlandizi na Kibaha mwambie aache kwani Askari Maliasili wa huko sasa hawatanii

As lon as hawapotei kwamba watafika vituo vya police na hatimaye mahakamani salama hatuna shida nalo.

Kila Raia na ahukumiwe kwa kosa analofanya kwa mujibu wa sheria zetu.
 
Fujo zinatokea ,na polisi nao waliumizwa,ila kutumiaa risasi za Moto halikua Jambo zuri,sio la kufumbia macho
Police wa Tanzania na Africa wana operate ki analogy...wao kupiga ndiyo hatua yao ya kwanza ya upelelezi.
 
mzeee baba kumbe kuna wali mzuri na nyama msibani? hahaaaa nimecheka sana kama mazuri vile
 
Hao watu wametobolewa utumbo. Soma uzi uuelewe uanze kuleta ujuaji. Hakuna mauaji ya risasi yasiyomwaga damu.

Yaani mtu kamwaga utumbo halafu damu isitoke aiseee maajabu ya karne
Jirani yetu Mwamkinga wamemmwaga utumbo wiki lililopita aisee!!
Jamaa hawana huruma kabisa
 
Sasa hawa bodaboda si wasafirishaji tu au ndio wachoma mkaa huko porini?
Nafikiri wangekata mzizi(kiwanda cha kutengeneza mkaa) na si kukata matawi(wasafirishaji).
 
Asante kwa taarifa Genta, hiyo vita ilianza chinichini, rushwa. Wamekula sana rushwa hao, leo wanawaua kama wanyama pori.

Genta ukipata nauli, upate na kahela ka ndizi. Wali nazi na ndizi ndiyo kwenyewe.
Asisahau na kapilipili.
 
Mokaze mimi pia ni mtu wa Mara [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] tuko mjini tunakula sana. Ugali na kichuri mpaka shughuli maalumu kwa hapa town.
Kasema mwenyewe akipata nauli, akale wali wa msibani [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwamba ugali na kichuri? Yawezekana hujawahi taste.
Kichuri si mboga

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Serikali ishushe bei ya gesi ili wakazi wengi wa mijini waweze kumudu gharama za kutumia gesi na hivyo kupunguza matumizi makubwa ya mkaa.
 
Shosti nikujue ili iweje,kanywe chai huko ndo maana una stress
Wewe Auntie, nani kakuambia mimi huwa nakunywa chai?? --
Umeanza matusi??, Wee unanijua mimi??๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ