Kama una Ndugu au Mpenzi anafanya Biashara ya Magendo ya Mkaa Mlandizi na Kibaha mwambie aache kwani Askari Maliasili wa huko sasa hawatanii

Vijana Wanadondoka huko hakuna mfano. au Hawa Askari Maliasili wa siku hizi wamepitia na Kozi ya Shabaha kwa Makomandoo Wetu au hapana kwani unaambiwa Wakiziinua no Mtu utaona Pikipiki inaanguka kule, Mkaa Kwingine na Dereva nae Kwingine huku Kichwa kikipasuka au Utumbo wake Kutusalimia tunaowahi / Kuwasalimia wanaowahi Kuokoa.
Askari wa bongo Wana shabaha kinoma Kama ulikua hujui
 
Najiuliza kwanini imekuwa kama Vita,sababu ninachojua Mimi au Kwa mtazamo wangu isingepaswa kutumika nguvu kubwa sana,kwasababu Jambo rahisi ni kuwekwa kizuizi njiani na kuwakamata kistaarabu Tu,lakini ninachokiona sasa ni kama uhasama uliopitiliza
kwa upande wa mlandizi vizuizi havifanyi kazi kutokana na uwepo wa njia za panya nyingi.
 
Tofauti yake ni ipi?

Kuua ni kukatisha uhai wa kiumbe hai na kumwaga damu ni kufanya jambo litakalosababisha damu kutoka kwenye mwili wa kiumbe hai.

Mtu anaweza kuuawa bila damu kumwagika au damu inaweza kumwagika bila mtu kufa, hiyo ndio tofauti kati ya kuua na kumwaga damu.
 
Hao watu wametobolewa utumbo. Soma uzi uuelewe uanze kuleta ujuaji. Hakuna mauaji ya risasi yasiyomwaga damu.

Yaani mtu kamwaga utumbo halafu damu isitoke aiseee maajabu ya karne

Mimi sijahusisha suala hilo ila nimehusisha matumizi ya lugha, kuua sio lazima damu imwagike, mfano mtu akipoteza damu kwenye ajali na baada ya kutibiwa akarudishwa nyumbani watu tutasema jamaa huyo alimwaga damu katika ajali sasa jiulize; je alikufa??.

Hao wauza mkaa unatakiwa useme wameuawa kwa kumwaga damu kupitia risasi lakini sio kusema tu kwamba wamemwaga damu kwa maana kwamba wameuawa, hayo yatakuwa ni matumizi mabaya ya lugha.

Mimi sijifanyi najua bali najua haswaa.
 
Punguza ujuaji mkuu. Comment yangu imehusisha uzi huu,wewe umekurupuka na kisebengo chako huko kujifanya mwalimu wa lugha. Peleka ualimu wako shuleni. Shuaini

Lissu alipopigwa risasi si damu ilimwagika pale. wewe unaleta ujuaji wa ajali wakati uzi unahusu risasi,nyokolist

Asante kwa taarifa Genta, hiyo vita ilianza chinichini, rushwa. Wamekula sana rushwa hao, leo wanawaua kama wanyama pori.

Genta ukipata nauli, upate na kahela ka ndizi. Wali nazi na ndizi ndiyo kwenyewe.

Huyo Genta ni mtu wa Mara, nani kakuambia watu wa Mara huwa wanakula wali wa nazi kama watu wa Pwani??!, hebu mtake radhi haraka, hao wamezoea kula Ugali wa dona au ugali wa mtama mwekundu na mpishi lazima ajifunge haswaa kwani ugali wanaokula hao jamaa ni mgumu mithili ya jiwe halafu pembeni kuna nyama choma nk.
 
Punguza ujuaji mkuu. Comment yangu imehusisha uzi huu,wewe umekurupuka na kisebengo chako huko kujifanya mwalimu wa lugha. Peleka ualimu wako shuleni. Shuaini

Lissu alipopigwa risasi si damu ilimwagika pale. wewe unaleta ujuaji wa ajali wakati uzi unahusu risasi,nyokolist

Ohooo!!, unataka ligi ili tusahau msingi wa mada kuu ambayo ni muhimu sana kuliko hii ligi unayoitaka.

Nikuulize; Lissu alipomwaga damu je alikufa??
 
Huyo Genta ni mtu wa Mara, nani kakuambia watu wa Mara huwa wanakula wali wa nazi kama watu wa Pwani??!, hebu mtake radhi haraka, hao wamezoea kula Ugali wa dona au ugali wa mtama mwekundu na mpishi lazima ajifunge haswaa kwani ugali wanaokula hao jamaa ni mgumu mithili ya jiwe halafu pembeni kuna nyama choma nk.
Mokaze mimi pia ni mtu wa Mara 😄😄😄😄 tuko mjini tunakula sana. Ugali na kichuri mpaka shughuli maalumu kwa hapa town.
Kasema mwenyewe akipata nauli, akale wali wa msibani 😁😁😁
 
Poleni sana kwa kuharibu asili yenu kutokana na mazingira mnamoishi, hata mimi huku nilipo sipati migebuka na mawese na ugali wa muhogo najikaza kianaume tu mtani, tupeane pole.😀😀
 
Back
Top Bottom