Kama una ndugu yako anahitaji Kazi/Ajira sheli kuuza mafuta Mdada au Mmama mjuze habari hii

Kama una ndugu yako anahitaji Kazi/Ajira sheli kuuza mafuta Mdada au Mmama mjuze habari hii

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kuna nafasi ya Mwanamke/Mdada
Sheli Kama unamjua Mtu anayejiheshimu ,smart na yupo tiyari kufanya Kazi mpe habari

Unakuja PM
Mshahara unajulikana

Update
Wamepatikana watu tyari so nafanya nao mazungumzo ili waweze kufika kazini Kama watapendezwa na salary
 
Kuna nafasi ya Mwanamke/Mdada
Sheli Kama unamjua Mtu anayejiheshimu ,smart na yupo tiyari kufanya Kazi mpe habari

Unakuja PM
Mshahara unajulikana
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nakuja mkuu
 
Kuna nafasi ya Mwanamke/Mdada
Sheli Kama unamjua Mtu anayejiheshimu ,smart na yupo tiyari kufanya Kazi mpe habari

Unakuja PM
Mshahara unajulikana
Mshahara unajulikana kwamba ni M 8 kwa mwezi au unamaanisha vipi [emoji848][emoji57]
 
Kuna allowance gani ukiondoa mshahara 😋
 
Back
Top Bottom