DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Shule za serikali sio shule, watoto huku ndiyo wanapoanza kuharibika kitabia. Walimu wengi wanachojua ni kupiga viboko na matusi.
Narudia usithubutu!
Narudia usithubutu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ISAIDIE SEREKALI YAKO RIPOTI MATUKIO YA AINA HII.Shule za Serikali sio shule
Watoto huku ndo wanapoanza kuharibika kitabia
Walimu wengi wanachojua Ni kupiga viboko na matusi
Narudia usithubutu
HAO WANAOTESA WATOTO WANAWEZA KUFUKUZWA TU,KWANI MITAANI BADO WAPO WENGI SANA WASIO NA KAZI.Sikujua kama serikali imeajiri watesaji mashuleni. "Walimu wengi wanachojua ni kupiga viboko na matusi" kadiri ya mleta mada!
Mkuu ingekuwa vema kama ungewaripoti hao walimu, maana siyo tarajio la serikali inapoajiri walimu!
Shame,shame yani wewe ni wale lumbukeni,shule za serikali ndo shule nzuri kwa taarifa yako,yani umekurupuka kuandika usichokijua ili uonekane nawe una uzi,fimbo inamnyoosha mtoto anakuwa na tabia nzuri,nakumbuka kipindi nasoma shule ya sanawari arusha kuna mwalimu aliitwa mdee na mwalimu mollel yani hawa walimu wanachapa sijawahi ona,kipindi kile ukichelewa kushika namba unachapwa fimbo za mkono mpaka unakufa gazi,nawashukuru sana hao walimu maana wamenifanya niwe ngangari,fimbo imeandikwa kwenye biblia mtoto lazima achapwe ili ajue kuwa akikosea atachapwa tena,watoto wanaosoma hizo shule za mabus asilimia kubwa wengi wao huwa wanaharibikiwa sana,fimbo zinatakiwa zisiondolewe shuleniShule za serikali sio shule, watoto huku ndiyo wanapoanza kuharibika kitabia. Walimu wengi wanachojua ni kupiga viboko na matusi.
Narudia usithubutu!