N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,308
- 12,812
Sasa hivi ni msimu wa mapera. Kula mapera manne angalau kila siku. Halafu njoo hapa utoe ushuhuda.
Facts:
1. Vitamin C – Husaidia kuongeza uzalishaji wa shahawa na kuzuia uharibifu wa seli kwa sababu ya oksideni nyingi (oxidative stress). Pera lina vitamins C mara nne zaidi ya chungwa.
2. Antioxidants – Kama vile flavonoids, ambazo huboresha mzunguko wa damu na afya ya mishipa ya damu, ikiwemo maeneo ya uzazi.
3. Folate (Vitamin B9) – Muhimu kwa afya ya uzazi na ukuaji wa seli mpya.
4. Fiber – Huboresha usagaji wa chakula na kusaidia kupunguza uzito wa mwili, jambo ambalo lina uhusiano wa moja kwa moja na nguvu za kiume. Ukila Pera unapata choo hivyo utumbo wako mpana unakuwa safi na mwepesi na kuongeza nguvu ya misuli ya uume.
Kila la kheri!