Kama una sifa hizi basi huwezi kutegemewa, sitisha hata kuwa na familia

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
KAMA UNA SIFA HIZI BASI HUWEZI KUTEGEMEWA, HAIRISHA HATA KUWA NA FAMILIA πŸ˜”

1. Kila changamoto inakuliza na kukuumiza.
2. Mtu wa kulalamika tu.
3. Unaishi kijanja janja kukwepa majukumu.
4. Hutaki kuwajibika kwa makosa yako.
5. Mtu wa kususa hovyo.
6. Unajitetea sana
7. Bado una utoto wa kutaka kila kitu upate kwa wakati.
8. Huna siri.
9. Vijiweni muda mwingi na huna cha maana huko.
10. Bado unajifariji kwa kauli za " MAISHA NDIO HAYA HAYA"

Helo Aprili, robo ya kwanza ya mwaka 😊

Mwanasayansi Saul kalivubha.

Fikia Ndoto zako.
 
Mbona hizo sifa zote ni za kike?
 
Hivi...siku ya wajinga ni lini
 
Hizo sifa ni za maskini
 
Kama kuna binadamu atakuwa na hizo sifa zote hizo hapo juu basi hapaswi kuendelea kuwa hai ni bora afe tu akapumzike kwenye nyumba yake ya milele.
 
Hapo no 4-8 kuna mtu zinamuhusu ni tabia zake ila hajioni kabisaaa yy hupenda kujiona Saint na habadiliki. Nitazichukua nimtumie mana elimu yake haijamsaidia
 
Hapo no 4-8 kuna mtu zinamuhusu ni tabia zake ila hajioni kabisaaa yy hupenda kujiona Saint na habadiliki. Nitazichukua nimtumie mana elimu yake haijamsaidia
Mbona unamsema shemeji yetu na mvua lote hili linanyesha, akiona je?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ww umejuaje ni tabia za shemeji yako??
Namna umeshtuka na kukubaliana na mleta mada hapo ndipo nilipoona kuna hoja ya kujibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…