Kama una sifa hizi huwezi tegemewa, hairisha hata kuwa na familia

Kama una sifa hizi huwezi tegemewa, hairisha hata kuwa na familia

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
KAMA UNA SIFA HIZI BASI HUWEZI KUTEGEMEWA, HAIRISHA HATA KUWA NA FAMILIA 😔

1.Kila changamoto inakuliza na kukuumiza.
2.Mtu wa kulalamika tu.
3.Unaishi kijanja janja kukwepa majukumu.
4 .Hutaki kuwajibika kwa makosa yako.
5.Mtu wa kususa hovyo.
6.Unajitetea sana
7.Bado una utoto wa kutaka kila kitu upate kwa wakati.
8.Huna siri.
9.Vijiweni muda mwingi na huna cha maana huko.
10.Bado unajifariji kwa kauli za " MAISHA NDIO HAYA HAYA"

#Helo Aprili, robo ya kwanza ya mwaka 😊

#Mwanasayansi Saul kalivubha.

Fikia Ndoto zako.
 
Ubaya wao wengi kina mario, wakiwapa mabinti mimba hujisifu tu vijiweni wana watoto lakini hawalei wala kutuma pesa
 
Back
Top Bottom