Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Wabongo bana, mwanamke chupi yake ikionekana mnasema kakaa uchi, sasa chupi nyingi utazikuta tena zimening'inizwa madukani, mbona hamsemi wauzaji wamekaa uchi[emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Hivi ikitokea ndani ya week 6 umejichanganya kusema bila baba mkwe na yeye akakosa kuonekana mahabusu kujileta mbele ndio mvua ilipoanza kunyesha

Sio lazima uelewe kila kitu

Utarudia kusoma hata Mara mia
Hahahaha Mimi nimerudia Mara saba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Leo nina stress, siwezi kutoa watu stress

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Pana fundi tv mmoja alipeleka tv kwa fundi mwenzie mambo yakawa hivi
Fundi :naomba unitengenezee tv yangu
Mwenzie :haya si maajabu ikiwa mpaka kuna maswala mengine hunishinda mimi mpaka nakuja unanisaidia iweje leo uje kwangu?
Fundi :jinsi nilivyo na bei ghali kuwachaji wateja wangu mpaka najiogopa kujitengenezea naomba unitajie gharama zako nitakulipa
 
Huu uandishi wa matangazo ya uswahilini haya inabidi uangaliwe upya, Bibi ameenda mjini kusaga mahindi yake akafika mashine ya kusaga pale nje kumeandikwa :TUNASAGANA KUKOBOANA FAKA.
bibi akageuza na mahindi yake akaona bora akapike kande tu..kumbe jamaa alieandika pale aliona nafasi ndogo so akaona abananishe maandishi badala ya kuandika : TUNASAGA NA KUKOBOA NAFAKA.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
~*TAHADHARI. al-shabab wamebuni mbinu mpya ya mashambulizi kupitia vocha ambapo ukiingiza tu namba za vocha simu inalipuka na kukuua. ili kukulinda, unaponunua vocha ikwangue na kabla hujaingiza namba ktk simu yako tuma namba hizo kwenye namba yangu ili zihakikiwe. niko tayari kufa kwa ajili Yako.*?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…