Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[quote uid=153894 name="Freyzem" post=19587375]Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!

Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.

Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona

Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..

Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57][/QUOTE]
Kijana unaweza kufanya stand up comedy...umenichekesha kabla sijalala leo....asante.

luge tz

Hivi kwa mfano ukiwa umealikwa ukweni, mbele ya baba na mama mkwe wakati mama mkwe kakuuliza swali na baba mkwe nae swali lake hujajibu, wakati huo huo t.ako na jicho vikawa vinakuwasha kwa wakati mmoja, je utajikuna kipi mwanzo na utajibu swali la nani kwanza[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums

sent from my nokia ya tochi

Post sent using JamiiForums mobile app

Pana fundi tv mmoja alipeleka tv kwa fundi mwenzie mambo yakawa hivi
Fundi :naomba unitengenezee tv yangu
Mwenzie :haya si maajabu ikiwa mpaka kuna maswala mengine hunishinda mimi mpaka nakuja unanisaidia iweje leo uje kwangu?
Fundi :jinsi nilivyo na bei ghali kuwachaji wateja wangu mpaka najiogopa kujitengenezea naomba unitajie gharama zako nitakulipa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

The world is full of nice people…… If you can’t find one, be one.

Maisha yanakwenda kwa kasi ya 4G kipindi kifupi kilichopita vibabu viliitwa BABY kwa bashasha leo mambo yamegeuka havitoi tena pesa vimepuuzwa na kubatizwa jina la WAHENGA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

The world is full of nice people…… If you can’t find one, be one.

d5ec0e31d60c235357cc1de8a051c5dc.jpg
Hivi huyu jamaa akienda kibiti si anaweza waona wale wauaji kwa urahisi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums

d5ec0e31d60c235357cc1de8a051c5dc.jpg
Hivi huyu jamaa akienda kibiti si anaweza waona wale wauaji kwa urahisi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si kwa urefu huo

76dede7fa94d1cb0f1c91fac9beb2d05.jpg

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums

d5ec0e31d60c235357cc1de8a051c5dc.jpg
Hivi huyu jamaa akienda kibiti si anaweza waona wale wauaji kwa urahisi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Kweli kabisa mkuu

The world is full of nice people…… If you can’t find one, be one.

9dddd5d8d71b74fe229ebc0a59ba539d.jpg

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

The world is full of nice people…… If you can’t find one, be one.

Back
Top Bottom