Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetaka kuleta uvunjifu wa amani.Leo nimeenda mgahawani nikakuta kila meza watu wamekaaa wawili wawili(couple) .. kwakua sipendi kula nikiwa nimesimama
Nikachukua simu yangu nikapiga nikaongea kwa sauti rafiki yangu mke wako yuko hpa mgahawani amekaa na mwanaume mwngine njoo uone...
Robo tatu ya wanawake waliokua hapa wameondoka meza zimebaki waz nadhani wanaenda kula nyumbani [emoji23][emoji23]
Ee bwanaee nasahau shida kabisa apaAISEE NIMEPENDA HUU UZI. NIMECHEKA BASI. UZURI NIKO PEKE YANGU LA SIVYO NINGEITWA CHIZI
Nilikuona mkuu hapo mgahawani ila uliniaibisha sana, maana ulikuwa umeagiza maji, pilipili na papai..Umetaka kuleta uvunjifu wa amani.
Kulikuwa na kipande cha limao pia. [emoji23] [emoji23]Nilikuona mkuu hapo mgahawani ila uliniaibisha sana, maana ulikuwa umeagiza maji, pilipili na papai..
Siku nyingine agiza hata nyanya mbichi vitunguu na karoti ushushie na mirinda nyeusi bhaana [emoji13][emoji13][emoji38]
Hahaha mtandaonHivi Numbisa unatoa wapi hivi vitu. Waniua balaa