Unazuia damuNawaza tu kwa sauti
......Kile kipindi ukiwa mdogo nani alikwambia ukiweka mchanga kwenye kidonda unapunguza maumivu?
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniacha hoiHata uwe sista duu kivipi huwezi kuvaa min kabang
Nimerudi mkuuFreyzem
lothrito
jakitoo
Numbisa
stickvibration
Guasa Amboni
Salmah99
Siku hizi hatuutendei haki uzi....
Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]WACHAGA JAMANI KWA PESA MMEZIDI Teacher:Tunga sentensi ukitumia pesa
Mushi : Hapana zitaisha....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku kwetu Kibiti jua likizama wataalamu wa kuogelea huwa tunaenda kuliokoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] Bangi siachi!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Unasaidia damu isitoke nyingiNawaza tu kwa sauti
......Kile kipindi ukiwa mdogo nani alikwambia ukiweka mchanga kwenye kidonda unapunguza maumivu?
Hii kibokoMlevi kafiwa na kaka yake akatafuta njia ya kumwambia mke wa kaka yake ili asipate mshituko.
Mlevi: shemeji mme wako kakuolea mke wa pili
Shemeji: Mungu amlaani afe
Mlevi: Vijana ingizeni maiti ndani mambo mazuri [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums