Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ...nataka mambo mubashara bwana alaah[emoji2][emoji2][emoji2]kwamba kunijibu nalo ni suala mtambuka[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*VIJANA WA LEO*
_*Surali 20,000/-*
_*T-shirts 25,000/-*
_*Saa 15,000/-*
_*Simu 450,000/-*
_*Body spray 25,000/-*
_*Sadaka 1000/-*
```Baraka utazisikia tu kwa wenzako.
Kenge wa Ukerewe wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]```
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28] kenge mwenyewee
 
Nilikuwa gheto nasikiliza matangazo ya mpira wa yanga simba, mara nasikia mtangazaji anasema mpira unakuwa ni mwingi unakuwa ni wa kutupwa... tena nikasikia Tambwe anaenda kutupa mpira..... Nikaamua kufunga safari kwenda uwanjani nikaokote mipira, maana ilitupwa mingi sana. Kabla sijafika mtangazaji akasema mpira umekwisha....
Nimesimama hapa barabarani naona watu wanatoka uwanjani wamekasirika sana, nahisi nao wemeenda wakakuta mipira imekwisha.
 
b9378138bd897396e14a0f84036a63a7.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu hakuwa romantic dakika mbili nyingi kawaka kifupi alikuwa kauzu mtata mkuda mkoloni flan hivi. Siku moja kamwambia bibi leo tukumbushie enzi zetu wakati nakusotea nitakusubiri pale chini ya mwembe bibi akamwambia saa mbili za usiku babu sawa.
Babu moja na nusu yupo pale kang'atwa na mbu mpaka nne na nusu bibi hajatokea babu karudi home akaingia na mlango kafyumu si kitoto kamkuta bibi sebuleni
Babu :sasa tumepangaje nawe umefanya nini?
Bibi :huku anajing'ata kucha akasema "mama alinikataza nisitoke
Babu ilibidi acheke tu wakaenda kulala.
 
Mtoto: Mama kila nikikuuliza katkat ya miguu ya baba kuna nini hunijib sasa leo nimechunguza mpk nimejua
Mama:Mh?....
Mtoto:Kuna mswaki
Mama:hahahhah nani kakwambia
Mtoto:Nimemwona dada wambura kapiga magoti anasugua meno yake baba akiwa amesimama nikaingia dada c akageuka bac mdomo wote ulikuwa umejaa daw ya mswaki hadi ikawa inatoka nje
**************************************************
Usicheke mazishi ya huyo housegirl ni ijumaa

Kwi kwi kwi Hatar kabisa..
 
Back
Top Bottom