Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

e4bb21b1b91bf229d8e01c20c0685179.jpg
Me too!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Ufala wa Madem Huwa Mnavaa Earings Kwa Mapua, Ulimi, Masikio sijui kwa Uso...Maneckless ka mia Mbili...!!!
Mwingine ameanguka jana Town ametoa sauti Ka sufuria[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupwangalangichikong'oung'enkikounkong'ouu!
Hahahahahahhahahahahahahaahahhaaaaaaaa............aisee unajua kuchekesha yani uwa nikisoma nacheka mpaka machozi yanatoka khaaaa......be blessed kwa kujua kutufurahisha
 
Upo Facebook baada ya kutoka. kazn Unalog in unakuta boss wako kaapload picha Nafamilia yake ukichek cm ipo Asilimia 3 kwakua n boss unataka Ucoment kapongez kidogo Kwa maneno ya kingereza Unaandika Cool pics Ila cm Ina Autocorect ikajtype [HASHTAG]#Cool[/HASHTAG] Pigs Ile kushtuka cm Imezma
Wala usihangaike broo Tafuta kaz nyngne [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kujipendekeza hakujawahi kumuacha mtu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*stress ni pale unapokakuta kabwana mdogo ambacho hakajaenda hata shule kana maela mpaka anaumwa, halafu wewe na masters yako unapuyanga tu mwaka wa nne sasa*

*Stress zaidi ni pale unapokumbuka ulimwambiaga; dogo zingatia shule utakufa masikini*

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahhahahahahahahaahahhaaaaaaaa............aisee unajua kuchekesha yani uwa nikisoma nacheka mpaka machozi yanatoka khaaaa......be blessed kwa kujua kutufurahisha
Siku moja kabla ya harusi yako, Bakhresa anakuomba uachane na hiyo harusi ili ufunge ndoa na mtoto wake. Amekuahidi kukupa Bilioni 500 taslimu za kitanzania; UTAFANYAJE?????
Mimi nitakubali sio kwamba napenda sana hela ila kwa sababu napenda kuheshimu wazee tu!!
[emoji23] [emoji23][emoji23]
 
Hahahahahahahahahahahhahaaaaaa my ribs.........hata mimi napenda kuheshimu wazee
 
Upo Facebook baada ya kutoka. kazn Unalog in unakuta boss wako kaapload picha Nafamilia yake ukichek cm ipo Asilimia 3 kwakua n boss unataka Ucoment kapongez kidogo Kwa maneno ya kingereza Unaandika Cool pics Ila cm Ina Autocorect ikajtype [HASHTAG]#Cool[/HASHTAG] Pigs Ile kushtuka cm Imezma
Wala usihangaike broo Tafuta kaz nyngne [emoji23][emoji23]
Hahahahahahahahhahaaaaaaaaa aiseeee my ribs khaaaaaa
 
MUME MWAMINIFU ANAPATIKANA HAPA.

Tafuta Lori(semi trailer) ambalo Plate Namba zake za mbele zinafanana na namba za kwenye Tela,
Ukilipata mfate Dereva , Fanya mpango awe mume wako maana huyo ndo mwanaume mwaminifu duniani.

Share ujumbe huu kwa wenzako ambao hawataki kuolewa wakisubiri MUME mwaminifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom