likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
STRESS NDIYO NINI JAMANI, MAANA TULIKIMBIA UMANDE NA KUKOKA MOTO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stress ni kipara, kama una unakipara ndio unapitia hapa kama huna tembea hii thread haikuhusuSTRESS NDIYO NINI JAMANI, MAANA TULIKIMBIA UMANDE NA KUKOKA MOTO
Hahahahahahhahahahahahahaahahhaaaaaaaa............aisee unajua kuchekesha yani uwa nikisoma nacheka mpaka machozi yanatoka khaaaa......be blessed kwa kujua kutufurahishaHuu Ufala wa Madem Huwa Mnavaa Earings Kwa Mapua, Ulimi, Masikio sijui kwa Uso...Maneckless ka mia Mbili...!!!
Mwingine ameanguka jana Town ametoa sauti Ka sufuria[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupwangalangichikong'oung'enkikounkong'ouu!
HahahahaahahahahahhahahahaaaaaKumbe bangi haina madhara yoyote bana,nimejaribu kupiga pafu tatu usiku huu na Niko vizur tu nimekaa juu ya tv naangalia masofa yangu,[emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kujipendekeza hakujawahi kumuacha mtu salamaUpo Facebook baada ya kutoka. kazn Unalog in unakuta boss wako kaapload picha Nafamilia yake ukichek cm ipo Asilimia 3 kwakua n boss unataka Ucoment kapongez kidogo Kwa maneno ya kingereza Unaandika Cool pics Ila cm Ina Autocorect ikajtype [HASHTAG]#Cool[/HASHTAG] Pigs Ile kushtuka cm Imezma
Wala usihangaike broo Tafuta kaz nyngne [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*stress ni pale unapokakuta kabwana mdogo ambacho hakajaenda hata shule kana maela mpaka anaumwa, halafu wewe na masters yako unapuyanga tu mwaka wa nne sasa*
*Stress zaidi ni pale unapokumbuka ulimwambiaga; dogo zingatia shule utakufa masikini*
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku moja kabla ya harusi yako, Bakhresa anakuomba uachane na hiyo harusi ili ufunge ndoa na mtoto wake. Amekuahidi kukupa Bilioni 500 taslimu za kitanzania; UTAFANYAJE?????Hahahahahahhahahahahahahaahahhaaaaaaaa............aisee unajua kuchekesha yani uwa nikisoma nacheka mpaka machozi yanatoka khaaaa......be blessed kwa kujua kutufurahisha
Hahahahahahahahahahahhahaaaaaa my ribs.........hata mimi napenda kuheshimu wazeeSiku moja kabla ya harusi yako, Bakhresa anakuomba uachane na hiyo harusi ili ufunge ndoa na mtoto wake. Amekuahidi kukupa Bilioni 500 taslimu za kitanzania; UTAFANYAJE?????
Mimi nitakubali sio kwamba napenda sana hela ila kwa sababu napenda kuheshimu wazee tu!!
[emoji23] [emoji23][emoji23]
Hahahahahahahahhahaaaaaaaaa aiseeee my ribs khaaaaaaUpo Facebook baada ya kutoka. kazn Unalog in unakuta boss wako kaapload picha Nafamilia yake ukichek cm ipo Asilimia 3 kwakua n boss unataka Ucoment kapongez kidogo Kwa maneno ya kingereza Unaandika Cool pics Ila cm Ina Autocorect ikajtype [HASHTAG]#Cool[/HASHTAG] Pigs Ile kushtuka cm Imezma
Wala usihangaike broo Tafuta kaz nyngne [emoji23][emoji23]
Ni Supu ya kongoro mkuuSTRESS NDIYO NINI JAMANI, MAANA TULIKIMBIA UMANDE NA KUKOKA MOTO
Si mimba za nwanae haina shidaMATATIZO NI NINI?
Tatizo nipale boyfriend wako anapo kutambulisha kwa Mama yake ambaye ndo nesi mtoa mimba zako
[emoji41][emoji144]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Jamani mwenye mwiko aniazime nataka kusonga mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28]Stress ni kipara, kama una unakipara ndio unapitia hapa kama huna tembea hii thread haikuhusu
Yes am cunt, next question?