Kabogo Kabogo
Member
- Jul 23, 2017
- 76
- 37
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ...nataka mambo mubashara bwana alaah[emoji2][emoji2][emoji2]kwamba kunijibu nalo ni suala mtambuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app