Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

WATAALAMU WA ANGA WANASEMA PENALT YA JUMA MAHADHI IMEONEKANA ANGA ZA JUU SANA JAMBO AMBALO LINAWEZA KUSITISHA KUPATWA KWA JUA HUKO AUSTRALIA[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
*Trafic Mmoja Alikua Akikagua Madaftari ya Watoto wake Wawili..*

*[emoji117]Daftari la Mwanawe Mkubwa hakulipenda,*
*"Kwa hasira Akamfokea sana,"*
*Wee kwanini hufanyi vizuri Shuleni?*
*Huna Akili wee*

*[emoji117]Akachukua Daftari la Mdogo*
*"Vile Kulitazama tu,*
*"Akamrudishia Daftari lake kisha Trafic huyoo Akaondoka zake bila Kusema lolote.*

*[emoji117]Yule Mtoto Mkubwa Akamuuliza Mdogo wake..!!*
*"Khhh...!! Sasa mbona wewe hajakufokea?*
*Ina mana wewe una Akili sana?*

*[emoji117]Dogo Akajibu,*
*"Bro Usipanick..*
*Kwani hujui Baba ni Trafic..!!*
*"Nimemuwekea Sh's.10,000/= kwenye Daftari.*

[emoji1540][emoji767]
 
TAHADHARI: ukiona choo ndotoni usikitumie

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
Aaah, nilijua tu kuna watu wana roho mbaya, unataka niumwe na nyoka vichakani eee? Nimekujua Leo au unataka nikamatwe na halmashauri ee? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nothing straight from crooked timber of humanity can be done
 
Hakuna kitu kinauma kama imefika mwisho wa mwezi huna hela ya kodi ya nyumba halafu anapita mlokole anaimba mbinguni kuna makazi ya bure tena mazuri saña unatamani umuulize je una namba ya dalali yoyote anayemfahamu huko mbinguni akupe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…