Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Upo Facebook baada ya kutoka. kazn Unalog in unakuta boss wako kaapload picha Nafamilia yake ukichek cm ipo Asilimia 3 kwakua n boss unataka Ucoment kapongez kidogo Kwa maneno ya kingereza Unaandika Cool pics Ila cm Ina Autocorect ikajtype [HASHTAG]#Cool[/HASHTAG] Pigs Ile kushtuka cm Imezma
Wala usihangaike broo Tafuta kaz nyngne [emoji23][emoji23]
[emoji134] [emoji28] [emoji28] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nimecheka karibu kuzimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfungwa mmoja baada ya kukaa jela miaka 12 akafanikiwa kutoroka basi kajificha ficha mpaka kufika nyumbani kwake saa 2 usiku kagonga mlango mkewe kamfungulia. Swali la kwanza mkewe akamuuliza penye TV imetangazwa umetoroka asubuhi sasa muda wote huu niambie ulikuwa wapi? jamaa akaamua kwenda kituo cha polisi ili arudi jela.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!!
Kuna jirani yangu hapa katoka kazini kafika Sinza mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tano! Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia!
Baadae kaelelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe akamuomba maji ya kunywa alipopewa akayanywa kisha akavua viatu, mkewe akamtengea maji ya kuoga baada ya kuoga akawa anapitia madaftari ya wanae, alipomaliza akajumuika na familia kula Chakula cha usiku kisha wakalala huku wamefunga milango yote.
Asubuhi kaamka, baada ya kuoga kavaa vizuri tu kaenda kazini... kwa ujumla Yuko vizuri katika kazi na anapiga kazi kama kawaida.

Kama hujaipenda andika na wewe ya kwako!...
upuuuzi
 
8b3e967537040771bc81e5aff7ace031.jpg
 
Lestorofio Gone misto Ghazwat lebrosonfito magreato demito [emoji16] [emoji16] [emoji4] [emoji4]
 
Mfungwa mmoja baada ya kukaa jela miaka 12 akafanikiwa kutoroka basi kajificha ficha mpaka kufika nyumbani kwake saa 2 usiku kagonga mlango mkewe kamfungulia. Swali la kwanza mkewe akamuuliza penye TV imetangazwa umetoroka asubuhi sasa muda wote huu niambie ulikuwa wapi? jamaa akaamua kwenda kituo cha polisi ili arudi jela.
Dah.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

sent from using iphone 7+ mobile app
 
Back
Top Bottom