Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Mtu mmoja alinunua nyama 1kg ili achomewe. Ilipoiva akasema ipimwe tena na ikawa 3/4. Akauliza 1/4 imeenda wapi, akajibiwa imeenda na moto.

Akauliza, kwa hivyo nikipima 1/4 ikichomwa sitapata kitu?

Hadi saai hawajamjibu... Ameenda tafutwa Meneja.
[emoji3][emoji3]
 
9ed33d1e4c451fd412415f2075994ad1.jpg
 
....Wanaume tu ndio watanielewa

Hivi ni kwanini kile kipindi uko single mkono wako wa kulia ulikua na nguvu kuliko mkono wa kushoto

Shida zaidi ni kwamba kuna dada anajaribu kuelewa hii post bila mafanikio[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wapost pumba
 
Vita baridi ni nini?

Vita baridi ni pale ambapo we we na baba yako mnabishana kuhusu mpira yeye anasema Giroud mkali kuliko messi..halafu we we ukajisahau ukadhani upo kibandani unaropoka "msikieni huyu matako" [emoji23] [emoji23]
 
katika kufundisha darasani mara paap.mwalimu kajamba..!!akaondoka uku akijifanya amekasirika ....alivorudi kesho yake akaulza.."KIPINDI KILICHOPITA TULIISHIA WAP..?? wanafunzi kwa pamoja wakasema "TULIISHIA PALE ULIPOJAMBA"
 
Back
Top Bottom