Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kazi ngumu duniani kama ya kumchekesha aliyefumaniwa
....Sababu ya kuachana na mpenzi wangu ni hii[emoji116] [emoji116]
Stella: Hivi mpenzi wangu ni lini utatangaza ndoa?
Mimi: Siku nitakayo pata kipaza sauti
Siku ya tatu leo nampigia simu hapokei i think ameenda kutafuta kipaza sauti
*vijana watz wanavyoitana utasikia Chief,mkuu,bosi,mtaalam ,tajiri,kiongozi,mara mheshimiwa unaweza fikiria hakuna tatizo la ajira nchini
[emoji1321]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]KUNA WAKATI MTU MFUPI
ANAKWAMBIA NYWELE ZAKO
zinanukia harufu nzuri...
UNASHINDWA KUELEWA
ANAZUNGUMZIA NYWELE
ZIPI HASA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]