Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

WAZUNGU
Mtoto akitaka kulala mzaz anaanza kumsomea hadith nzur kweny kitabu zenye mafundisho ya watoto mpaka mtoto analala.
WABONGO
Mtoto akitaka kulala anatishwa,utasikia "wewe hebu lala upesi eeh dudu hilo,dudu hilo!,nazima taa nazima. [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
41ef16f8e015bda8b5d40fcac134b65f.jpg
 
Mambo-ya-Pesa
*Kuna dem mmoja kaja home kaniomba pesa nikamwambia sina cash labda bank au M pesa akanambia hapo barabarani kuna wakala twende tukatoe, wakati tunatoka nikamtext mshikaji wangu nikamwambia mi nakuja hapo kwa wakala nikifika karibu nitajifanya kama naongea na simu halafu we utakuja kunipora. Kweli tumefika karibu na wakala mshikaji kaja kanipora simu kakimbia nayo mi nikabaki nashangaa kama cjui kitu cha ajabu yule demi kakimbizana na mshikaji cjui kamkamatia wapi kaja anampiga makofi jamaa yuko hoi dem kanigea simu nimetoa hela nimempa kaondoka hapa mshikaji nae kaniganda nimpoze maana sio kwa vitasa alivyochezea na shati lake limechanika hata cjui nifanyeje*

wanawake wa JPM hawataki masihara[emoji3][emoji3]
 
Mia tanu mkato sufuri sufuri mkato sufuri sufuri nukta tansanias shingilingi!...
Nimejaribu, maana me form one C...
Duh wewe mwenzangu form one C....,. Mie
STD IV ile ya wahenga.Asante kwa ufafanuzi.
 
Leo kwenye daladala wakati natoka Mbagala ilikuwa imejaza kishenzi, sasa kuna mdada tukawa tumepeana migongo, dadeki mdada alikuwa kajazia[emoji3][emoji3] basi namimi nikawa nampiga kama vile jogoo, yaani full kumjambia[emoji13] [emoji13] [emoji13] sijui kama hana mimba[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
UKIAMBIWA TANGA KUNA RAHA UWE UNAELEWA

Tanga hata majina ya mabasi yanakupa raha, yaani Tanga utakuta mabasi kama RAHA LEO, TAWAKAL, BEMBEA, TASHRIFF, BURDAN, TAHMEED na hata SIMBA nayo ni SIMBA MTOTO yaani hutishiki

Sasa njoo mikoa ya watu wa shari... utasikia BUFFALO, NEW FORCE, KIMBINYIKO, MAJINJA, THE NAVIGATOR, KALUBANDIKA..nk

Mnaambukiza tabia mbaya mpaka magari
 
Leo kwenye daladala wakati natoka Mbagala ilikuwa imejaza kishenzi, sasa kuna mdada tukawa tumepeana migongo, dadeki mdada alikuwa kajazia[emoji3][emoji3] basi namimi nikawa nampiga kama vile jogoo, yaani full kumjambia[emoji13] [emoji13] [emoji13] sijui kama hana mimba[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Duh alibakari wee noma.Kwa hiyo unasimama kwenye $$
Nyuma ya wenye mizigo.
 
Duh alibakari wee noma.Kwa hiyo unasimama kwenye $$
Nyuma ya wenye mizigo.
Ndio tena nimemfanyia kama vile jogoo anavyofanyaga[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
WAKUU NA SWALI MOJA

Nini hasa faida ya chupi na umuhimu wake??
Ukivaa chupi ukawa umekaa vibaya ikionekana unaambiwa umekaa uchi.
Usipovaa chupi ukaonekana hujavaa chupi unaambiwa upo uchi...
Sasa hapo inakuaje!!!

Sent from Calculator Phone vesion007
Daah dude limeamka kwa kusoma haya maneno
 
Jamaa yuko ukweni amekaa sebuleni, mara ikaletwa chai ikafuatia chapati 3, jamaa kazipiga zote katulia, mara anasikia baba mkwe anauliza mbona sioni vitafunwa,sauti ya mama mkwe kutoka nje anasema nimeziweka hapo mezani moja yako, moja ya mkwe wako na nyingine yangu.
Mpaka sasa jamaa ameweka mikao zaidi ya kumi.
 
Kama utakipenda kimoja njoo PM tuzungumze biashara
1. Freezer aina ya Boss Tsh250000. Haina mlango wa mtungi wa gesi
.
2. Feni ya chini Tsh 15000/=. Inawaka kwa machale.. yaeza kukaa hadi masaa 2 haijaanza kuzunguka
,
3. Pasi ya umeme aina ya Phillips. Tsh 12000/=, haishiki moto kabisa hata ikae nusu saa kwny umeme na kidude cha kuregulate moto kimeharbika..

4. Meza ya plastic Tsh 75000/= ina miguu 3 na mmoja mfupi kidg.

5. Vikombe vya udongo Dozen 1 Tsh 25000/= ila vilipata ajali kidg.. vimekatika mikono na vingne vimetoboka chini
6.Redio ya caset lkini haina transiforma bei 34000
7.Flat scren bei 50000 kioo kimepasuka na haina rimot control na batan zime haribika fasta nichek [emoji41]
8.Simu aina ya Sumsung s7 edge 470000/= ilidondokea kwenye maji ikapiga shot, kitufe cha kuwashia hakipo na hata ukiweka kingine haiwaki, ni simu nzuri bora na ya kisasa!
9.Kamera aina ya sony mp 16 bei 62500/= haina lens, ni mbovu hata mafundi hawaitaki kama spea.
10.Bajaji aina ya tvs, bei 1400000/= haina matairi, viti wala usukani! Imetumika miaka 8 na inadaiwa kodi ya miaka 2!

Karibuni, bidhaa ni nyingi sana, zipo za aina tofauti tofauti kama magari, ndege, treni, meli, maparashuti, vifaru, n.k vyote hivyo vikiwa katika hali mbaya sana, (ikumbukwe hizi ni toys za watoto zilizotumika huko uswahilini na kutupwa kwenye majalala)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom